Wanawake ambao hamjaolewa soma hapa

Wanawake ambao hamjaolewa soma hapa

Endelea kutafuta kwenye mitandao lakini nakuhakikishia utapata mtumba kwisha kazi. Mwanamke aliyezaa bado hajaolewa inamaanisha wengine wote wamemjua na wamemshindwa.

Ushauri wa bure. Nenda kwenu ukapate jiko la maana la sivyo njoo huku Same upate mtoto wa kipare mwenye maadili ambaye hajawahi kuguswa, utafungua duka mwenyewe.
 
dah una masharti mengi..ila kila la kheri

nimerelegeza masharti, umri uwe kuanzia miaka 20, lakini elimu lazima ianzie form4 na kuendelea ili kuongeza ufanisi ktk maisha, maana maisha ya cku hizi yanahitaji angalau ujue kujipambanua
 
nimerelegeza masharti, umri uwe kuanzia miaka 20, lakini elimu lazima ianzie form4 na kuendelea ili kuongeza ufanisi ktk maisha, maana maisha ya cku hizi yanahitaji angalau ujue kujipambanua
basi sawa watakuja
 
Back
Top Bottom