Kuna kituo fulani cha radio ya dhehebu fulani...kila nikifungulia nasikia wanajadili mwanamke.ππ80% ya Wanawake hutumia Ukimya kuonesha Maumivu yao.
Mwanamke huchukua siku 15 kumpenda mtu lakini Mwanaume humchukua...Sekunde 8.2.
Wanawake huchukua muda mrefu kufanya maamuzi, na wakisha amua hushikilia msimamo wao.
Wanawake ni rahisi sana kupata msongo wa mawazo linapotokea tatizo, kwasababu hujilaumu sana kutokana na tatizo hilo.
Wanawake hupata ndoto zaidi usingizini kuliko Wanaume.
Uwezo wa mwanamke kutunza siri ni masaa 47. Baada ya muda huo atamsimulia mtu hiyo siri.
Ubongo wa Mwanaume ni mkubwa kwa asilimia 10 zaidi ya ubongo wa Mwanamke. Lakini Ubongo wa mwanamke hufanya kazi kwa ufanisi zaidi.
Ni asilimia 2 tu ya Wanawake hujikubali wao ni wazuri, ila 98 asilimia wanakataa. Mfano mwambie mwanamke we Mzuri utasikia Mimi mbona nipo Kawaida tu! Ukimwambia wewe wa kawaida tu anakununia!πππ
ASILI KWANZA!!!!!
Ulikuwa unapiga?Ngoja kwanza nioge
kwanza wanaume kichwa ngumu tuna namna nyingi ya kuikabili sononaππ80% ya Wanawake hutumia Ukimya kuonesha Maumivu yao.
Mwanamke huchukua siku 15 kumpenda mtu lakini Mwanaume humchukua...Sekunde 8.2.
Wanawake huchukua muda mrefu kufanya maamuzi, na wakisha amua hushikilia msimamo wao.
Wanawake ni rahisi sana kupata msongo wa mawazo linapotokea tatizo, kwasababu hujilaumu sana kutokana na tatizo hilo.
Wanawake hupata ndoto zaidi usingizini kuliko Wanaume.
Uwezo wa mwanamke kutunza siri ni masaa 47. Baada ya muda huo atamsimulia mtu hiyo siri.
Ubongo wa Mwanaume ni mkubwa kwa asilimia 10 zaidi ya ubongo wa Mwanamke. Lakini Ubongo wa mwanamke hufanya kazi kwa ufanisi zaidi.
Ni asilimia 2 tu ya Wanawake hujikubali wao ni wazuri, ila 98 asilimia wanakataa. Mfano mwambie mwanamke we Mzuri utasikia Mimi mbona nipo Kawaida tu! Ukimwambia wewe wa kawaida tu anakununia!πππ
ASILI KWANZA!!!!!
Kupiga nn mkuu? Za siku?Ulikuwa unapiga?
Ni kweliAnyway addition point mwanamme hutumia muda wake mwingi sana kumuwaza mwanamke.
Ref jf threads π
Hua unataka ajibu nini mkuuππ€Nachukiaga nimwambie demu we mzuri halafu ajibu "asante" βΉοΈ Mazungumzo yanakosa muendelezo..
Si aanze kujichekesha chekesha na kuona aibu huku aking'ata kucha na kuchora chora ardhini..ππHua unataka ajibu nini mkuuππ€
Heheheheππππ...kumbe ndo mnavyotaka, hao labda watoto wa shule ndo wakufanya hivyoSi aanze kujichekesha chekesha na kuona aibu huku aking'ata kucha na kuchora chora ardhini..ππ
Kwahiyo nyie mnavyojibu kwa mkato tu "asante" mnakua hamtaki tena mazungumzo au? Inakata stimu..Heheheheππππ...kumbe ndo mnavyotaka, hao labda watoto wa shule ndo wakufanya hivyo
Me hata sijui, ila ndo tabia yangu hiyo na mimi kujibu AsanteKwahiyo nyie mnavyojibu kwa mkato tu "asante" mnakua hamtaki tena mazungumzo au? Inakata stimu..
Shemela, huyo mwanamke tunayemuwaza, hatumuwazi mwili mzima, ni kisehemu kidogo tu cha mwili wake ndo huwa tunakiwaza..!!Bujibuji mida hii ni mwanamke tu unawaza.....
Anyway addition point mwanamme hutumia muda wake mwingi sana kumuwaza mwanamke.
Ref jf threads π
Ila huko aendako akikutana na makorokocho makali kuliko alikotoka, HUWA WANAJUTA HATARIMwanamke unaweza ukamnyanyasa, ukamtesa, ukamuonesha umalaya, akavumilia muda mrefu.
Ila siku akisema nimechoka naondoka ππ
Aisee usitegemee atarudi/kugeuka nyuma.
Utaleta viongozi wa dini,wezee, marafiki, viongozi wa sirikali ila kama jibu litabaki pale pale ni hapana
Sio wote wako hvyo ila wengi wanamsimamo na uvumilivu,tofauti na wanaume ndiyo hapana hapana ndiyoπππ³πππ