Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 77,929
- 165,272
...kutamka hivyo kwa muda huo mchache ndiko kumaanisha ?!!!Ujaonyesha maokoto yako vizuri..........atachukua sekunde 2 tu kusema ndio nakupenda na papa ukapewa bureeee
Facts [emoji1787]Bujibuji mida hii ni mwanamke tu unawaza.....
Anyway addition point mwanamme hutumia muda wake mwingi sana kumuwaza mwanamke.
Ref jf threads [emoji16]
Ndotoni68% ya wanawake wako tayari kuchepuka kama wakijua hawatogundulika kirahisi
hizi tafiti sijui zinafanywajeπ
KiburudishoBujibuji mida hii ni mwanamke tu unawaza.....
Anyway addition point mwanamme hutumia muda wake mwingi sana kumuwaza mwanamke.
Ref jf threads π
Jamii Forum Usiku wa Manane!80% ya Wanawake hutumia Ukimya kuonesha Maumivu yao.
Mwanamke huchukua siku 15 kumpenda mtu lakini Mwanaume humchukua...Sekunde 8.2.
Wanawake huchukua muda mrefu kufanya maamuzi, na wakisha amua hushikilia msimamo wao.
Wanawake ni rahisi sana kupata msongo wa mawazo linapotokea tatizo, kwasababu hujilaumu sana kutokana na tatizo hilo.
Wanawake hupata ndoto zaidi usingizini kuliko Wanaume.
Uwezo wa mwanamke kutunza siri ni masaa 47. Baada ya muda huo atamsimulia mtu hiyo siri.
Ubongo wa Mwanaume ni mkubwa kwa asilimia 10 zaidi ya ubongo wa Mwanamke. Lakini Ubongo wa mwanamke hufanya kazi kwa ufanisi zaidi.
Ni asilimia 2 tu ya Wanawake hujikubali wao ni wazuri, ila 98 asilimia wanakataa. Mfano mwambie mwanamke we Mzuri utasikia Mimi mbona nipo Kawaida tu! Ukimwambia wewe wa kawaida tu anakununia!πππ
ASILI KWANZA!!!!!
Mkuu ni usiku wa manane kwako si kwa wengineJamii Forum Usiku wa Manane!
Ndio ... niliyeanduka Si Mimi?πΆMkuu ni usiku wa manane kwako si kwa wengine
Nocturnal forumJamii Forum Usiku wa Manane!