Wanawake acheni uchokozi

Pengine alikufananisha tu na mtu fulani na kwasababu hamkupata nafasi yakuongea basi wewe umedhania ni uchokozi na kumbe kwa upande wake ni kakufananisha tu , sasa una chachawaaaaa huku jf
 
Mimi nikishiba mapupu hata nikonyezwe vipi sishtuki

Kwa hiyo jiachieni tu ili kupunguza stress za vyuma kukaza
Mie huwa sikonyezi jamani... Ila huwa naachia tabasamu tuu
 
Hapo kwenye tabasamu ndio Cancer yangu, uzuri tupa kule
Haha

Hata mie huwa nafarijika mnoo nkutane na mwanaume mwenye tabasamu nono aki na mie huliachia ka namjua vilee!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…