Wanawake acheni uchokozi

Mkuu pambana na hali yako,pesa imekuwa ngumu angalia usije uka lipishwa mkonyezo mjini hapa!
 
Hahaha mkuu pole sna kwel yalikukuta anyway mm sikufikia uko
 
Wengi inakuwa sio watu mkuu, tahadhari sana
 
Utakonyezwa hadi na majini ohoo, vingine viache vikupite
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…