Huyo unaye ishi naye kwanini isiwe ndoa?Natunza vbunda nikija kuoa uzeeni nispate shda
Charaza ndio nini?Bwana leo nikasema nmkumbuke ex Wang maana toto ni nzuri a.k.a la kwenda, basi nikachati nalo uko Facebook kwasabab namba yake nimefuta (namuheshimu ninae ishi nae,sijaoa), kweli bwana nafungua tu Facebook mtandao wake pendwa nikamkuta online tutakaanza kuchat.
Mwsho wa kuchat ukawa kama hvo Chin
una mpango wa kuoa?? nisikuone tena unasambaza kampeni ya #kataa ndoa mimi kama waziri mkuu nakuvua mamlaka.....Natunza vbunda nikija kuoa uzeeni nispate shda
nisikuone....Ntaoa nikiwa 80+ kutimiza wajibu wa dini
Alikuwa anakufukuza tu hapo usijipe kichwa wal humuhimuBwana leo nikasema nmkumbuke ex Wang maana toto ni nzuri a.k.a la kwenda, basi nikachati nalo uko Facebook kwasabab namba yake nimefuta (namuheshimu ninae ishi nae,sijaoa), kweli bwana nafungua tu Facebook mtandao wake pendwa nikamkuta online tutakaanza kuchat.
Mwsho wa kuchat ukawa kama hvo Chin