Wanawake acheni kuturoga jamani...

Mungu anawaona mjuee ninyi nyote mwenye tabiaa hizooooo !!
 
Afadhari nipe no ya mganga kwa ajili ya kunyoosha nyota tu
 
Hii ya kulogana inachipua kwa kasi sana siku hizi, kuna dada jirani yangu amemloga mume wa mtu, kila ifikapo saa 10 alfajiri anaamka na kwenda kutimiza mashariti ndani ya siku 3 utamuona mshikaji anahamia kabisa kwa bidada
 
Unakuta mwanamke mrembo! lakini mchawi balaaaa....yaani inatisha.
 
Haya mambo bana, unakuta waifu anakuloga, mchepuko A na B wanakuloga, dukani kwa Mangi anakuloga, kazini unalogwa, kwenye daladala kaweka mizizi napo kulinda biashara yake napo unalogwa, daaah kwa mwendo hatuwezi Tanzania ya viwanda tutaisikia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…