Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,628
- 35,384
Watu wameshtuka siku hizi, hawaoiWanawake sikuizi mmekuwa na msongo wa mawazo kisa umri umeenda na ulipanga kuolewa ukiwa 25yrs ila hakuna dalili wengine mmekuwa mnabeba mimba ovyo kutegemea watawaoa mbaya sana iyo
Jikite kutafuta pesa kama ndoa ipo utaolewa ila jikite kupata maokoto kama umri unaenda na unataka mtoto ukibeba mimba kwa kudhamiria ila mwanaume alikuwa ataki na kabla uja beba weka akilini mwanaume akikataa utalea mwenyewe bila kumsumbua kwasababu wewe ndio mwenye shida na mtoto sio yeye
Kuna wanawake wengine wapo vizuri sana ana mwambia kabisa mwanaume na mimba analea mwenyewe mwanaume asipo mtunza hana muda analea na kumtunza mwanae na mtoto akitaka kumuona baba yake ana muona kwa wakati bila pangamizi hamjazi sumu mtoto ili amchukie baba yake
Ila sasa ninyi wengine mlio kuwa mnataka ndoa mkakosa mkaishia kubeba mimba mnasumbua sana mnafanya watoto kama ndio kitega uchimi wenu yaani unashida na hela ya kusuka una ibuka kwa baba mtoto matusi kibao unajua mwanao anakula nini anavaa nini haipendezi
Wachaga wapo maeneo tofautitofauti mkoani Kilimanjaro usituweke kundi moja.Nyie wachaga mna meno ya Chocolate hapana kwa kweli.
Mnawapata wapi hao wanaowabembeleza muwaoe mbona mimi ephen_ kila nikitupia vocal anarukaruka kama popcorn?
Dah asee dunia haiko fairYupo anaembembeleza ukiona ww akubembelezi
Acha tuPunguza munkari kwani imekuaje huko? Ushaambiwa kuna mtoto yu njiani??
Ila umejipanga?Kijana Lea Junio huyo .
Junio hakwepeki.
Ahahah hapana sema sijapata mwanamke anaeleweka mm ni mpole sanaKuna vifaa kwa mwanaume kupigia kunyeto tofauti na midoli ya kizungu?
Ila mwanetu ndoa haikufai kabisa utakuwa ni mtu wa gubu kwa wanawake,🤣🤣
Sawa alazimishe kichwani ziwepoWanawake Wanaolazimisha ndoa wanajitambua ndo maana wanalazimisha ili tusipate muda wa kuwachezea
Mm ndio nastuka sasaiviWatu wameshtuka siku hizi, hawaoi
Mimi nilishasafisha meno bana, halafu uchagani wala hayo meno hamna yapo Arusha. Kwetu sisi tumezaliwa na kukulia Arusha ila tulikuwa tuna attend kwa dentist regularlyNyie wachaga mna meno ya Chocolate hapana kwa kweli.
Sureuwezi kuvaa viatu vya musa baharia kwenye bahari ya mapenzi.View attachment 3225118
Hao ni matapeli tu wanaija hao 😀😀Asianvibe.com
Juliettdate.com
Ukitaka kuchati nao lazima ununue crdt lakini hata ukijisajili tu tena kwa information za uongo na picha ya uongo utakuwa unatumiwa message za kubembelezwa na picha private za kutosha
Na old moshi je 😂Wachaga wapo maeneo tofautitofauti mkoani Kilimanjaro usituweke kundi moja.
Mfano kule rombo mtoto anazaliwa hadi anabalehe hajui mswaki lakini meno meupe pee.
Ukija kibosho hata wakishindia miswaki meno yao yanakua na rangi utadhani wanashindia tumbaku
Anataka niniView attachment 3225119
Chaliifrancisco unaona huyu Mchina alivyo na wenge anajifanya yupo nchini kwangu wakati details zote nilizoingiza ni za uongo?
Acha nimtetee ephen, unapajua kibosho?Mimi nilishasafisha meno bana, halafu uchagani wala hayo meno hamna yapo Arusha. Kwetu sisi tumezaliwa na kukulia Arusha ila tulikuwa tuna attend kwa dentist regularly
KabisaDah asee dunia haiko fair
Sipajui ila nimekaa na wakibosho meno yao yanatishaNa old moshi je 😂
Wapewe mudaSipajui ila nimekaa na wakibosho meno yao yanatisha