Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,913
- 67,415
Hapo sasa mm nataka watoto tu 😂Na hivi mwana unajua kupika, ndoa ya nini?
Na hivi unajua mapishi ndio balaa Sana , vipi mkuu kimetokea nini hukoWanawake sikuizi mmekuwa na msongo wa mawazo kisa umri umeenda na ulipanga kuolewa ukiwa 25yrs ila hakuna dalili wengine mmekuwa mnabeba mimba ovyo kutegemea watawaoa mbaya sana iyo
Jikite kutafuta pesa kama ndoa ipo utaolewa ila jikite kupata maokoto kama umri unaenda na unataka mtoto ukibeba mimba kwa kudhamiria ila mwanaume alikuwa ataki na kabla uja beba weka akilini mwanaume akikataa utalea mwenyewe bila kumsumbua kwasababu wewe ndio mwenye shida na mtoto sio yeye
Kuna wanawake wengine wapo vizuri sana ana mwambia kabisa mwanaume na mimba analea mwenyewe mwanaume asipo mtunza hana muda analea na kumtunza mwanae na mtoto akitaka kumuona baba yake ana muona kwa wakati bila pangamizi hamjazi sumu mtoto ili amchukie baba yake
Ila sasa ninyi wengine mlio kuwa mnataka ndoa mkakosa mkaishia kubeba mimba mnasumbua sana mnafanya watoto kama ndio kitega uchimi wenu yaani unashida na hela ya kusuka una ibuka kwa baba mtoto matusi kibao unajua mwanao anakula nini anavaa nini haipendezi
Mnawapata wapi hao wanaowabembeleza muwaoe mbona mimi ephen_ kila nikitupia vocal anarukaruka kama popcorn?Aisee hii hali iko duniani kote Wanawake wamekuwa wakihangaika na kubembeleza mahusiano. Miaka mitano ijayo hiyo hali na hapa Tanzania itakuwa imeshakua kama huko nchi za Ulaya na Asia. Kuna mitandao ukiingia yaani unapapatikiwa na Wanawake wa Kizungu mpaka unajiuliza sasa hawa nitawafikia au watanifikia Vipi?
Kimsingi Wanawake wengi Wana hali mbaya na mfadhaiko sana wa kihisia.
Kabeba mimba bila kuniambia ananitishia kaka ake mkuu wa kituoNa hivi unajua mapishi ndio balaa Sana , vipi mkuu kimetokea nini huko
Ngorongoro kuna sexwork kuna wazungu wanakuja kwaajili ya kupigwa mbupu tu na kusepaAisee hii hali iko duniani kote Wanawake wamekuwa wakihangaika na kubembeleza mahusiano. Miaka mitano ijayo hiyo hali na hapa Tanzania itakuwa imeshakua kama huko nchi za Ulaya na Asia. Kuna mitandao ukiingia yaani unapapatikiwa na Wanawake wa Kizungu mpaka unajiuliza sasa hawa nitawafikia au watanifikia Vipi?
Kimsingi Wanawake wengi Wana hali mbaya na mfadhaiko sana wa kihisia.
Unaona sasaHapo sasa mm nataka watoto tu 😂
Inatosha mkuu… wamekisikia.Jikite kutafuta pesa kama ndoa ipo utaolewa
😂😂 nyeto muhimu bhna au nikuoneshe kabisa na vifaaaNilijua tu kwa yale mapishi yako ya jana lazima usumbuane na dada zetu
Mwanaume unapika namna ile lazima uone ndoa ni kitu kisicho na umuhimu alafu mbaya zaidi ukute ni mwanachama wa kunyeto
Asianvibe.comMnawapata wapi hao wanaowabembeleza muwaoe mbona mimi ephen_ kila nikitupia vocal anarukaruka kama popcorn?
Kuna vifaa kwa mwanaume kupigia kunyeto tofauti na midoli ya kizungu?😂😂 nyeto muhimu bhna au nikuoneshe kabisa na vifaaa