Wanawake acheni hii tabia, Inakera

Mmhh hii tabia mbona nnayo.... Kwa maana hiyo bado sijakua

Inawezekana au umekua katika mazingira ya kubanwa sana kwa hyo hukupata kupitia steji ambayo unatongozwa mpk hutak tena kusikia habari hizo ivo ndo unapitia sasa!
 
Uyu mtongozaji(mtoa mada) nae ni mvulana sio mwanaume.... Mwanaume hawezi kuleta uzi uo apa.... Wamekutana waache.
 
Stunter uliemtongoza na wewe wote akili zenu sawa... Hapo kuna mvulana na msichana na sio mwanamke na mwanaume..... Tena badilisha uzi sema wasichana
 
Uyu mtongozaji(mtoa mada) nae ni mvulana sio mwanaume.... Mwanaume hawezi kuleta uzi uo apa.... Wamekutana waache.

Hahaha inawezekana... mana ana hasira sana na wasichana sababu ya huyo msichana mmoja... mbaya zaid labda alimtokea demu wa mbabe wa mtaa akaenda kumsemea...si unajua wavulana wanakuaga na makundi ukitongoza demu wa mmoja wanakujia kundi zima kukuwashia moto! u teenager una mbwembwe zake!
 
mmmmmh unamaakili kama nini
 
Stunter uliemtongoza na wewe wote akili zenu sawa... Hapo kuna mvulana na msichana na sio mwanamke na mwanaume..... Tena badilisha uzi sema wasichana
Mimi ni Gentleman, tena niombe radhi kabisa...
Hilo ni kosa lenu wanawake, muwe mnachunga mabakuli yenu
 
Double standard inawatesa nyie,
 
[emoji28] [emoji28] umekua jimbo la uchaguzi...kesi ya nyani imalizwe na nyani..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo umepigwa mitama ya mabega na bwana wa mtu....
hutaki kosa lijirudie
 
Inawezekana au umekua katika mazingira ya kubanwa sana kwa hyo hukupata kupitia steji ambayo unatongozwa mpk hutak tena kusikia habari hizo ivo ndo unapitia sasa!
Mmhh....
 
Style uliyoenda nayo ndo imesababisha,Akahadithie Kwa boy friend wake. Au huwa unajidai sanaaaa. Akaona bora akuumbue. Au wanafunzi ndio wanatabia hiya. Sio wanawake wote... Embu tutake radhi [HASHTAG]#stunter[/HASHTAG]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…