Kama wametoka ubavuni mwa binaadamu mwanamume aliyeumbwa kwa udongo kisha yeye akatolewa kwenye ubavu wake huyo atakuwaje binaadamu kamiliYani kumbe sio binaadamu??? Au ??
Wasiponyooka natupia jiwe jengine, hadi wakae sawaHii sehemu napenda sana kuingia maana inapuza stress...nimeupenda uwasilishwaji wa habari yako mkuu maana mofano ya kutosha ili dhima ieleweke pia kuburudisha haswaaa...
Waambie hao nyani anamalizana na nyani mwenzake tumbili hausiki...kesi ya mamba unampelekea kenge kisa wanaishi wote mtoni au vipi?!!!
Aisee wakija wakikusikia watakushambulia...Kama wametoka ubavuni mwa binaadamu mwanamume aliyeumbwa kwa udongo kisha yeye akatolewa kwenye ubavu wake huyo atakuwaje binaadamu kamili
Ikiwa wewe unaona bora ule kongoro kuliko supu ya mbavu tupu
Mbavu thamani yake hipi hapo?
Ndo muanze kututangazia? Kwani hamuwezi kukausha?
Sakayo Tangulini mwanamke akaeleweka? Hebu tuambie tutumie formula gani kuwaelewa?Tatizo mnakutana na wasichana halafu mnakuja kutupa lawama kwa wanawake, au ndo kusema ukubwa jalala!!! Ifike mahali muwasome kisaikolojia hawa wasichana, atakavyoitika salamu yako inatosha kujua niendelee na mtongozo au niache
hapana sijakunwa maana sina tabia hiyoNaona umekunwa
Mkuu una maneno ya ukweliHivi Mwanaume anapopiga moyo konde akaja
kukutongoza, jibu si unakuwa nalo mwenyewe???
Kwani anakuwa ametongoza ukoo mzima,au
ndugu wote, au amemtongoza na Boyfriend wako
kwa pamoja??
Kama jibu ni hapana mwambie tu, Am sorry siwezi kuwa na wewe coz nna Boyfriend tayari...Au sihitaji
Boyfriend kwa sasa...Majibu yako mengi na unayo
wewe uliyetongozwa!Simple
Sasa wewe unatongozwa,unaenda kumwambia
Boyfriend wako, ''ohhh u know that guy Masoud???
Kanitongoza nimemkataa''....So what??Ili uonekane ulielewa sana matumizi ya NO au unamuimpress
nani?? Mbona wale uliowakubali hukumpelekea
ripoti?? Usijifanye una Mapenzi ya Halmashauri
kupeleka ripoti kwa CAG,ukitongozwa jibu
unalo, ndo nyie mnafanya Wanaume wapigane visu
ili mtafute ujiko kwamba fulani na fulani wamenigombania, we umekuwa Jimbo la
Uchaguzi?
Kesi ya Nyani mmalizane nyani kwa nyani, mpe jibu
nyani humtaki aende zake,ya nini kuwaalika
Tumbili wawe mashahidi???
Hapo kuna ukweli mkuu!!"That Must Be a girl not a woman!"
Huyo Atakua Msichana na sio mwanamke mkuu!
wasichana ndo wanaushamba wakutongozwa wasamehe wakikua wataacha!
kugombaniwa na wanaume ni sifa kwa msichana kwa mwanamke ni aibu!
Mwanamke ana kifua hata akitongozwa na baba mkwe Hasemi!
"That Must Be a girl not a woman!"
Huyo Atakua Msichana na sio mwanamke mkuu!
wasichana ndo wanaushamba wakutongozwa wasamehe wakikua wataacha!
kugombaniwa na wanaume ni sifa kwa msichana kwa mwanamke ni aibu!
Mwanamke ana kifua hata akitongozwa na baba mkwe Hasemi!