Wanawake acheni dharau

[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Unaishi USA alafu hujui ufanyaje kwenye swala Kama Hilo?? Toka huko njoo buza huku
 
sikolashipo 🤣 🤣 🤣 🤣 nimecheka kwa herufi kubwa mi nafikiri nia yako ni kutaka watu wajue kuwa uko USA na si vinginevyo, kama kweli umeoa na una Watoto wawili unashindwa nini kumuambia hivyo? Wanaume mnazidi kupungua kila iitwapo leo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…