Wanawake Above 30 hata 40 Marriage is a Hypocrytical Institution, Kama Fungu la kukosa utakosa tu!

Leo sio siri umenichekesha atii...

Haya ngoja niwaache muendelee kumwaga vitenzi vikurupushi...

Vikurupushii kweliii

naona haji leo kiherehere mfukoniii kama hani..thi vile uchi wa mwanamke umemshinda
 
Yesu ba Maria Na Yosefu... Cyan6 unawajua vishoiya?

Cc snowhite
enhenhenhe vishowia wana sifa za harage mbele na nyuma kote hakujulikani!
nyota zao matambara ya deki hata liwe sagi vipi kabatini halikai
harufu zao za ng'onda ukiiweka ndimu inadunda!
 
Last edited by a moderator:
Mimi binafsi nikimuona msichana ana nyoodo sana na hajaolewa
kimoyo moyo huwa nasema subiri uolewe......

wanawake wengi walio olewa hujikuta tu busara from experience.....

wengi wanaosema hili never litakuja nitokea....wanassema wakiwa single..
wakishaolewa huitaji hata kuwauliza.....sura zao zinaonesha kila kitu

ni rahisi kuhukumu watu ukiwa kwa nje.....but ukishaingia ndani ndo unaelewa....
Hivi ile date yetu tuliipanga lini?
cc. Kaunga........
Hii ni date ya kuongea tu....... unakaribishwa ila utuangalie tu kwa mbali
 
Last edited by a moderator:
Mwanaume ukimuona ana wayawaya km jogooo...!!!!
ujue han nyimbo hana mambo
hana lolote yupo yupo tu km jibwa koko
hilooooooo...!!!!!!!

mmmmh! Maneno makali halafu machafu kwann?
Hapo ndio utagundua kila mtu anakichaa ila kuna wakat vchaa vnapoa na kulipuka hapa kwako naona kabisa kimeshawaka hali tete
 
Vikurupushii kweliii

naona haji leo kiherehere mfukoniii kama hani..thi vile uchi wa mwanamke umemshinda
auwezee wapi nae jogoo wa kuchora tu hawawiki hawadonoi !
wanakosana majina tu ila tarehe zile zile!
 
mmmmh! Maneno makali halafu machafu kwann?
Hapo ndio utagundua kila mtu anakichaa ila kuna wakat vchaa vnapoa na kulipuka hapa kwako naona kabisa kimeshawaka hali tete

hamna afu niko poa kweli yaani hapa yani mbona hakijapanda....???!!!
kawaida sana kwanza kwanza mbona maneno y a kawaida hayooo...!!!
 
mmmmh! Maneno makali halafu machafu kwann?
Hapo ndio utagundua kila mtu anakichaa ila kuna wakat vchaa vnapoa na kulipuka hapa kwako naona kabisa kimeshawaka hali tete

Turudi zetu kule kwenye uzi wetu ukanilinde na SMG! Viwango nishatimiza kama vimepungua ni kidogo sana!
 
mi sijui yaani uko radhi kusasambua matatizo yako kwa marafiki kuliko sisi tusiokujua???? hapa unashauriwa then kila mtu na hamsini zake lakini marafiki watakutangaza tu
matatizo ya wanandoa yanatatuliwa/suluhishwa na wanandoa wenyewe,
Mkishindwa kusikilizana na kuyatatua wenyewe, hata muende kwa Askofu hataweza.......mark my words.........
cc. Asprin , Kaizer
 
Last edited by a moderator:
bora mzani wa mashine kuna siku unapima pamba japo utang'aa kwa weupe!
hawa sura zao nzito kama futari ya maghimbi iliyopoa!
Mdogo wangu tutakurudisha kumpitimbi...... naona uzaramoni kunakupeleka kubaya
Umekuwa na maneno ngati kyani kwali! kuvi na kiki kwani? ne nikodola mihu tu hapa
 
Asante dj sokwe kwa kibao hiki Murua..nakidediketi kwa lara 1 miss neddy miss chagga Kasinde popote walipo

Thanks for the song, I need a man to enjoy life and not to marry me, yaani mwanaume ntakuwa nae ili kuifurahisha nafsi yangu nikimaanisha wakati wa kupeana raha na utamu kitandani na nikiwa nahitaji mimi, wakati mwingine ntamhitaji mwanaume kama kampani ya kucheza nae disco, kukaa nae meza moja kupiga stori akati kila mmoja akiwa na kinywaji, kubishana mada mbali mbali maana mie ni mbishi balaa. Out of that a man is for hi and bye!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom