Wanawake Above 30 hata 40 Marriage is a Hypocrytical Institution, Kama Fungu la kukosa utakosa tu!

Unajua akili ya binadamu ni ya ajabu sana? mie sijui ndo nna zile psychic powers za Pasco? hata nikidanganyishia kukasirika hasira zinanipanda kweli. nikijidanganyishia kuumwa naanza kuumwa ukweli kabisaa! sasa nikijidanganyishia sipendi, si ntakosa kupenda daima.

(kuna kawimbo ka kizushii maza alikuwaga anaimba 'ninaelea, naelea nakwenda kwa baba'. hehehe ndo maana ak-RIP nae, khaaa. mie naelea nakwenda kwa paw )
Ni ya muda tu, maumivu huisha tu.

Wee subiri ntakapokulipua, ndio utajua Paw ni mdengereko na wewe ni mtoto wa mvuvi.

shangaa aisee. yaani maishani you should never say never. moyo ukivunjwa lazma kuna mganga wake, sasa kukata tamaa si dhambi jamani? hahaha uteja wa kudumu unahusika. kupendwa na kupenda ni raha, enjoy best
uuwiiiiiiiii hivi kile cheo cha uteja alianzisha nani humu JF?
mateja wenzangu BAK, snowhite, Arushaone...... sijui kuna niliyemsahau.......? hivi tukiambiwa marufuku kupenda/kupendwa si tunaweza kudisapia hivihivi jamani?
Tunajipenda wenyewe, yes, lakini ukipata mwingine anayekupenda si ndo unakuwa yanga zaidi?
 
Last edited by a moderator:
shangaa aisee. yaani maishani you should never say never. moyo ukivunjwa lazma kuna mganga wake, sasa kukata tamaa si dhambi jamani? hahaha uteja wa kudumu unahusika. kupendwa na kupenda ni raha, enjoy best
Yaani best najitahidi kuinjoy to the max....... kwa nini kujinyima!!!!!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
matatizo ya wanandoa yanatatuliwa/suluhishwa na wanandoa wenyewe,
Mkishindwa kusikilizana na kuyatatua wenyewe, hata muende kwa Askofu hataweza.......mark my words.........
cc. Asprin , Kaizer

najua ila kuna kipindi maji yanafika shingoni sasa ukiona imeshindikana usisubiri yakuzoe wakati mtu wa nje anaweza kukupa kamba ujiokoe
 
Last edited by a moderator:
najua ila kuna kipindi maji yanafika shingoni sasa ukiona imeshindikana usisubiri yakuzoe wakati mtu wa nje anaweza kukupa kamba ujiokoe
kama wenyewe hampo tayari kuyasuluhisha mtu wa mbali atayatuliza tu kwa muda then yatalipuka tena
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Heeeeeeee halo mazaaa si bora uje uwe mke mwenzangu tushee nnachoshea mie, kinachoniliza usiku mie kuliko kuolewa na kimwanaume kipo kipo tu hakitazamikii, REALITY SIO MWANAUME WE NI MDAFADA TU MLAINI TU,

unawashwa eeeh?
 
kama wenyewe hampo tayari kuyasuluhisha mtu wa mbali atayatuliza tu kwa muda then yatalipuka tena

inategemea na aina ya mtu mnapelekea kesi yenu mfano mtu ana ndoa ina miaka kadhaa anawapa uzoefu wake nini cha kufanya maana nae kapita njia hiyo hiyo tofauti na kesi ilipelekwa kwa msimbe
 
Ntake radhi ticha...teeeh! Mie mdogo wako? Anyways, huo ndo ukweli kuwa aliyeumba ni Mungu na wote tumeumbwa kwa mfano wake, na kila alichoumba ni chema.

baada ya kula tunda wengine wakawa na sura kama fence ya miba
 
Kuweni wapole na msikate tamaa dada zangu 30yrs Rizki zenu zipo njiani mbona mama yake Monalisa Bi NATASHA KAOLEWA MZEE maana hadi Mjukuu kaona ndoa ya Bibi.

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Nmekumbuka, ule mpango wako ulifanikiwa?
 
we Dinazarde unajua nini zaidi ya kubong'oa
ukweli ndo huo we ulitaka nitapike lunch yangu ili iweje TEAMsuraMBAYA namfahamu daktari mzuri wa plastic surgery

Sura nzuriii upoooo, keki tushakuandaliaaaaaa leooo hupumuiii
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

26 Reactions
Reply
Back
Top Bottom