Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Zaidi ya wanawake 5000 kutoka wilaya ya Kondoa Mkoani Dodoma wakiongozwa na mkuu wa wilaya hiyo Fatma Nyangasa wamefanya matembezi maalum ya kumpongeza Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzanja Dkt Samia Suluhu Hassan kutokana na utekelezaji wa miradi mbalimbali iliyoghalimu zaidi ya 80 Bilioni na kwenda moja kwa moja kutatua changamoto zilizokuwa zinawakabili wananchi kwa muda mrefu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Akizungumza baada ya matembezi hayo DC Nyangasa amesema kwa kipindi alichukuwa madarakani Rais Samia kumeongeza chachu ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa shule na madarasa mapya ambayo yamekwenda kutatu changamoto ya wanafunzi kutembea zaidi ya kilomita kumi kwa ajili ya kwenda kuitafuta elimu.
Aidha Nyangasa ameongeza kuwa wanawake wa wilaya hiyo wamekuwa wajasiri kutokana na kupewa thamani, Hamasa ya utendaji kazi,ushupavu na weledi pamoja na ushirikishwaji kikamilifu katika jamii na uongozi wa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ndio sababu ya wao kujitokeza kwa wingi katika maandamano hayo yanayounga mkono juhudi zake.