Wanawake 108 walikuwa ni wa Dar...

Galadudu

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2014
Posts
2,304
Reaction score
780
Kupitia gazeti flani lenye kolamu ya kutafuta wachumba na marafiki na mimi niliamua tu kujaribu ili nione kwamba ni kweli watu huwa wanapata?.....
haya hapa matokeo:-

Dar nilipata 108, Tanga 32, Mwanza 11, Zanzibar 2, Arusha 9, Mtwara 48, Songea 21, Singida 87, Dodoma 39, Morogoro 53.

Hiyo ni baadh tu ya mikoa niliyopata "wachumba" lakini mikoa mingine ambayo ckupata kabisa, sasa ndo nikawa najiuliza ina maana wanawake wa Dar ndo wana shida sana ya kuolewa, wana hamu sana ya kuolewa au ni nini?

Hebu mje mnipe majibu.
 
Dar njaa kali wanatafuta japo sehemu yenye kimvuli wajipumzishe na kunywa maji mikoa mingine wanawake majembe wanauhakika wa kula, wanalima sana.
 
kumbe ndo maana ni wepec sana wa kuchangamkia fursa
 
Huku pwani fursa chache mkuu, watu wako makini zaidi kupambania fursa....population factor pia inahusika
 
Na kuna mmoja alilivalia njuga suala hilo hadi akaja mkoa niliokuwa "nikaishi" nae hotel kwa cku 4 huku tukipanga mipango ya maisha
 
DUHH...So bado unawasiliana nao hao wote?ingekuwa mm ningepanga nikutane na nao wote kila mtu na wakati wake niwaone na kuwasikiliza tu...
 
Lakin hata ivo nakiri kwamba nilipata shida sana ktk kipindi hicho, maana nilikuwa kama opareta wa simu
 
Lengo lako ilikuwa kutafuta mchumba au kuhesabu sensa ya wangapi wametokea mkoa gani??!!

Kaaaazi kweliiiii kweliiiii.
 
Kweli kabisa sasa hivi iko kama vile wanaume wa kuoa wamepungua au maisha ya kukosa ajira yanasumbua au wanawake wameongezeka kwa kasi kubwa zaidi ya kawaida. Kitakwimu inaonekana watoto wengi wanaozaliwa ni wa jinsia ya kike. Kwa DSM wanawake ni wengi kutokana na idadi ya watu kuwa kubwa pia.
 
Baada ya usumbufu kuzidi niliamua kutumia utaratibu ule ule,nikatuma sms kwny lile gazeti nikishukuru kwa kuniwezesha kupata "mchumba" nahic waliiona maana wengi walianza kukata mawasiliano
 
kwa upande wa percentage inaweza hiyo idadi ya dar ikawa sawa tu na mikoa mingine coz jumla ya idadi ya wanawake waliopo dar na idadi ya wanawake waliopo mikoa mingine haiwezi kulingana lazima dar kuna wanawake wengi zaidi kuliko mikoa mingine so tafuta kwanza idadi ya wadada waliopo kwenye mikoa husika kwanza,ungalie na hiyo idadi yako ya wadada wanaotafuta mabwana then utajua kwa upande wa % uko vipi
 
Lakin nilichokiona ni kwamba hao 108 wa dar walikuwa wanachangamkia sana hiyo fursa niliyoitoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…