Wanawaambia wazungurushe mikono ndio mabadiliko!

Wanawaambia wazungurushe mikono ndio mabadiliko!

nyoka wa makengeza

Senior Member
Joined
Mar 25, 2015
Posts
114
Reaction score
21
Ukiwa umefuatilia utagundua kuwa chadema wamezitupa zile nyimbo zilizokuwa zinahamasisha jamii ichukie ufisadi na mafisadi sasa hivi kumpamba tu fisadi wao
 
lowassa kawabadilisha kweli kweli...ndio maana utasikia mabadilikoooooooo....wanajibu lowasaaaaaaa......then lowasaaaaaa.......mabadikooooooo....ile ajenda yao hata kwenye mtandao wao wameshaichomoa
 
Magufuli;wale wanaosema mabadiliko ni kuzungusha mikono sasa mimi nawazungushia mara hamsini

nimeicheka sana hii kauli
 
mwajitekenya na kucheka wenyew...jitiieni vidole kabisa lakini mwaka huu lowasa rais saa nne asubuhi....tutaonana 25
 
Back
Top Bottom