L LUMBAKALA Senior Member Joined Dec 29, 2010 Posts 148 Reaction score 20 Jan 27, 2011 #1 Kuna tetesi kwamba wanavyuo wengi wanakipenda chama cha demokrasia na maendeleo [CHADEMA] Je ni tetesi za kweli???
Kuna tetesi kwamba wanavyuo wengi wanakipenda chama cha demokrasia na maendeleo [CHADEMA] Je ni tetesi za kweli???
bluetooth JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 4,401 Reaction score 2,560 Jan 27, 2011 #2 tetesi kutoka wapi
M Mwan mpambanaji JF-Expert Member Joined Apr 3, 2008 Posts 482 Reaction score 131 Jan 27, 2011 #3 Ni ukweli maana ndicho chama chenye dira,na wasomi ambao ni waelewa wanakikimbilia
Z zamlock JF-Expert Member Joined Dec 25, 2010 Posts 3,840 Reaction score 661 Jan 27, 2011 #4 unauliza swali gani hlo hata mtoto mdogo ukimuuliza unapenda dole gumba au dole mbili? Atakujibu dole mbili mwakeee
unauliza swali gani hlo hata mtoto mdogo ukimuuliza unapenda dole gumba au dole mbili? Atakujibu dole mbili mwakeee