MUSUMIFYCOM
Member
- Nov 28, 2012
- 55
- 28
WASOMI VYUO VIKUU WAMPONGEZA LOWASSA.
Ndugu watanzania na wananchi wote , awali ya yote tunapenda kuwasalimu wazazi na walezi wetu.
kwanini WANAVYUO TUNAMUUNGA MKONO mh LOWASSA.?
Mh lowassa amekuwa waziri mkuu wa muda wa miaka mitatu 2005-2008.
ni wazir mkuu ambaye ameacha TAIFA likimukumbuka kwa mazuri aliyofanya ndani ya miaka mitatu, utendaji wake ulionekana.
Na kila kiongozi wa serikali alimfananisha mh EDWARD LOWASSA NA SOKOINE.
KAMA WANAFUNZI WA VYUO, Tumetafakari sana kuhusu sakata la RICHMOND , TUMEGUNDUA YAFUATAYO.
1.lowassa ana busara za hali ya juu sana, alikubali kujiuzuru kwa sababu hakupenda MACHAFUKO YATOKEE NCHINI.
NA AMESEMA WAZI MBELE YA VYOMBO VYA HABARI, RICHMOND WANAOHUSIKA NI VIONGOZI WA JUU YAKE.
hivyo kama wanavyuo tulisema tangu mwanzo nchi yetu inahitaji RAIS jasiri, hodari, mwenye busara hekima, na ambae atafanya maamuzi magumu pale nchi yetu itakapokuwa na changamoto nyingi.
Tunahitaji rais wa TANZANIA sio rais wa CUF, CCM, CHADEMA, NCCR,
TUNAHITAJI RAIS WA JAMHURI MUUNGANO WA TANZANIA.
Tunampongeza lowassa kwa kushuka ktk gari ambayo imejaa wezi , wanajipendekeza wanafiki,na kuungana na WATANZANIA KUDAI UHURU WA KWELI NA MABADILIKO YA NCHI YETU.
ni ukweli usiopingika MH LOWASSA ANAKUBALIKA NA VYAMA VYOTE NCHINI, WATANZANIA WOTE, WAFANYAKAZI, WALIMU NA WATA WAFANYABIASHARA WADOGOWADOGO.
ila tumegundua lowassa akubaliki n wezi wachache ambao hawazidi 30,hapa TANZANIA.
HIVYO BASI TUNAAMIN NI WAKATI SASA WA TANZANIA KUWA NA KATIBA INAYORUHUSU MGOMBEA HURU , KWA SABABU WANACHI TUMECHOKA VYAMA KUTUCHAGULIA RAIS TUNAHITAJI KUCHAGUA RAIS WETU SIO WAO.
TUNA MUUNGA MKONO LOWASSA , KWA MOYO WOTE NA WATANZANIA WANA IMANI NA WEWE.
asanteni.
By katibu mstaafu vyuo vikuu iringa.
Fmusumi.