Lakini wakuu mmgejua mantiki ya huyu jamaa kuandika barua wala msingemkashifu..........hii baua iko siku itakuwa hati ya kifo maana jamaa kashindwa kuongea maana mikono yake imejaa ghadhabu mke wake awe makini watu kama hawa mm nawafahamu huwa hawatanii aiseee katumia busara sana