muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,858
- 14,802
Luku 3000 Una taa moja tu?,kodi elf 15000 hiyo room ipoje?Matumizi kwa mwezi na yote anatakiwa agharamie mwanaume
Chakula (chai na Wastani wa milo miwili kila siku) 10000
Nishati (kuni/gesi/mkaa) 25000
Umeme (Luku) 3000
Maji 5000
King'amuzi 25000
Swadaka 4000
Vizinga kutoka kwa masela (utakadiria mwenyewe)
Wazazi wapate chochote kitu (kadiria mwenyewe)
Ndugu, jamaa na watoto wapate chochote kitu
Kodi ya nyumba 15000
Mavazi ya watoto, mke na ya kwako mwenyewe
Sabuni 15000
Hiyo ni kima cha chini sana kwa mtu wa kawaida kabisa tena ni huku kijijini na hapo sijaweka vikolombwezo vingine mfano usafiri na michango mbalimbali ya kijamii na kiserikali
Kwahiyo kwa mwezi tu unaona hela inayokatika hiyo na hapo bado mambo ya anasa ghafla na dharura, matapeli hawajakutembelea, wezi na vibaka... Nk
Usiniulize kipato,
Wanaumeee...!
Haujaelewa wapi bro....SIjaelewa unamaanisha nini
Acha kuishi Kwa kukalili mkuu ,Kuna wanaume wanahudumiwa na wanawake ,jilaumu Kwa kuoa mke hohehahe,lazima jasho likutoke.Matumizi kwa mwezi na yote anatakiwa agharamie mwanaume
Chakula (chai na Wastani wa milo miwili kila siku) 10000
Nishati (kuni/gesi/mkaa) 25000
Umeme (Luku) 3000
Maji 5000
King'amuzi 25000
Swadaka 4000
Vizinga kutoka kwa masela (utakadiria mwenyewe)
Wazazi wapate chochote kitu (kadiria mwenyewe)
Ndugu, jamaa na watoto wapate chochote kitu
Kodi ya nyumba 15000
Mavazi ya watoto, mke na ya kwako mwenyewe
Sabuni 15000
Hiyo ni kima cha chini sana kwa mtu wa kawaida kabisa tena ni huku kijijini na hapo sijaweka vikolombwezo vingine mfano usafiri na michango mbalimbali ya kijamii na kiserikali
Kwahiyo kwa mwezi tu unaona hela inayokatika hiyo na hapo bado mambo ya anasa ghafla na dharura, matapeli hawajakutembelea, wezi na vibaka... Nk
Usiniulize kipato,
Wanaumeee...!
Kaza mjumbe.Nimecheka sana...
Hata king'amuzi ni 28000 lakini nimeweka 25000
Vyovyote iwavyo lakini bado ngoma ni ngumu sana kwa wanaume
Kazi ipo Bado wa tuma na ya kutolea!Matumizi kwa mwezi na yote anatakiwa agharamie mwanaume
Chakula (chai na Wastani wa milo miwili kila siku) 10000
Nishati (kuni/gesi/mkaa) 25000
Umeme (Luku) 3000
Maji 5000
King'amuzi 25000
Swadaka 4000
Vizinga kutoka kwa masela (utakadiria mwenyewe)
Wazazi wapate chochote kitu (kadiria mwenyewe)
Ndugu, jamaa na watoto wapate chochote kitu
Kodi ya nyumba 15000
Mavazi ya watoto, mke na ya kwako mwenyewe
Sabuni 15000
Hiyo ni kima cha chini sana kwa mtu wa kawaida kabisa tena ni huku kijijini na hapo sijaweka vikolombwezo vingine mfano usafiri na michango mbalimbali ya kijamii na kiserikali
Kwahiyo kwa mwezi tu unaona hela inayokatika hiyo na hapo bado mambo ya anasa ghafla na dharura, matapeli hawajakutembelea, wezi na vibaka... Nk
Usiniulize kipato,
Wanaumeee...!
Naogopa kudanganya maana sijabahatika kuyaishi maisha
Amesema kijijini vipo mkuu hata vya book 5!15000 chumba cha aina gani iko ๐๐๐
Mie ni ke sio me sina duiduHaujaelewa wapi bro....
Jf kuna ke watatu tu, wengine wote ni ma bro.....za ndani kabisa hiziMie ni ke sio me sina duidu
Acha tuJf kuna ke watatu tu, wengine wote ni ma bro.....za ndani kabisa hizi
Mbona hujaweka nauli ya kila siku kwenda na kurudi/bodaboda?Matumizi kwa mwezi na yote anatakiwa agharamie mwanaume