Wanaumeee. ..... Itikeni Naam......

huyu kamiss kufuliwa,kudekiwa nyuma na kupikiwa vzr zaidi ya hapo hamna shida. tena kama una hela ndo hamna shida kbs...mi nilijua maskini
 
hhehehehe mie sipo kwangu toka alhamis !bas hayo maswali ya"UNATEGEMEA KURUDI LINI' meeeeeengi!pyeee !

apambane na hali yake! au la akafie hukooo!(BInamu yako)
umempata gudume wa Jf huna habari na mumewe
 
Binamu yako ana roho ya chips, wengine tuna roho za mihogo waifu akisepa na watoto nampa mwezi tu asiporudi atakuta nimemwoa mama sangelima wa mtaa wa pili
 
Huyo Ana mapungufu makubwa sana
Mwanamke mmeanza nae maisha mme hustle pamoja amekuvumilia,umemvumilia kuna siku hata mkalala njaa mkila mnashea sahani moja hadi hapo mlipo leo umepata vijisenti unamuona mwanamke wako shithole unaenda kwa vidosho ...mwanamke anaondoka then roho ya majuto inakuja kwa kasi kubwa mwisho wa siku unaishi maisha ya guilty life vidosho wanakukimbia pengine umeanza kuishiwa mana si ulikua unawahonga, downfall inakuja kwa kasi maana machozi ya mwanamke yanajibiwa kwa kasi kubwa kama ya 4G na Mungu, pengine tena hapo uombe tu katika downfall yako hujanyaka magonjwa ya gono ...ndivyo ilivyo what goes around.......
 
Nyumba ni mwanamke,na mara nyingi wanaume huwa tunajutia kuondoka kwa mwanamke ikiwa sisi ndiyo chanzo cha migogoro.Yapata mwezi sasa mama watoto wangu kaondoka kwa matatzo yake mwenyewe niliyoshindwa kuyavumilia na kuamua kumpa likizo ndefu kbs.Moyo wangu una amani kabisa na ninafanya kazi zangu nikiwa very comfortable.Awali niliwaza akiondoka nitatafuta kipozeo lkn hari imekuwa tofauti kidogo maana nmejikita kwenye kazi zangu,tena bidii imeongezeka,huyo binamu yako ndy chanzo cha migogoro ndiyo maana yupo na hari hiyo(anajutia)
 
Mi naonaga hawajitambui tu tuwasamehe tu bure tuwaache hivyo walivyo
 
very well stated, wasiojua thaman ya ndoa or ya mwanamke. either husemaga kama mtu alikua`bondwd so much na mwenzie they cant handle it na si ujinga they are strong to go thru that stage and eventually they will get over it or get back to their wivws.
 
true fact, anajutia coz yeye ndiyo kasababisha na hakutegemea siku moja mke angesepa coz alishazoea m`take for granted..sasa analia na wakwao tuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…