Wanaumee: Mke na kimada kuwa marafiki...!

Yaani ukiona ivyo jua kiama chenu kimefika
 
Kn nyumba nilipanga kinondoni, jamaa akawa anapiga kimada wa banda la uani na mkewe yupo nyumba kbw! Bht nzr hawakujuana!
 
Makubwa kidogo basi, nyumba imekuwa ya moto kuingia saa tisa usiku na kumi na moja ushasepa!! Ofisi ndiyo imekuwa ya maana kwa sasa unafanya kazi mpaka huoni tena kazi ya kufanya!!
 
Duh .....

Hii ni balaa...
 
Makubwa kidogo basi, nyumba imekuwa ya moto kuingia saa tisa usiku na kumi na moja ushasepa!! Ofisi ndiyo imekuwa ya maana kwa sasa unafanya kazi mpaka huoni tena kazi ya kufanya!!

Hamu yote ya kimada imekuisha!
Pole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…