Nafikiri swali lake ni kama hivyo alivyoelezea Agika. Na ni kweli wanaumme wanatoka nje ya ndoa zaidi ya wanawake. Yaani kutoka nje ya ndoa imekuwa kama part ya ndoa. Mtu anakuwa na mchumba huku bado ana kimada, mpaka anaowa , anaendeleza tuu
Hii kali Mkuu!
Ina maana ukifuatwa na mabinti huwezi kusema hapana?
Ina maana akina dada/wanawake wanapofuatwa basi wasiseme hapana?
Nilikuwa nadhani wanaume wanaogopa wanawake wanaowafuata, kumbe siyo hivyo!
MAKUBWA DUNIA IMEBADILIKA SANA!
haha.muelimishe mkuu.wake ni mapambo yetu na unapoletewa pambo unalikimbiaaa ama unajivika inavyostahili?kwangu mimi wadada wakinifuata nakubali chapchap kwa sababu nao wakati mwingine hunizungushaaaa mpaka apetait inaisha.

hivi babu yao mchocho mzuri kama womenofsubstance akikatia anga zako mida ya injury hutamtupia hata haloooo?ama kweli paka mzee wa siku hizi akiona sahani ya maziwa anapita na kando.kekekekeke!!