Imefikia hatua mwanaume anamuonea wivu binti mdogo aliyeolewa na mwanaume (wa makamo) mwenye pesa, utakuta wamekaa wakimjadili binti na hata kumtukana na kuwachanganya wanawake woote kuwa wanapenda pesa (who doesnt), badala wakae wajiulize ni kwa namna gani huyo mwanaume mwenzao amefanikiwa kiasi hicho nao wajitahidi wamfikie au hata kumpita wamekalia majungu tuuuuuuu!! Utasikia mara free manson,mara pesa za madawa (maneno ya wakosaji).
Msije kujifanya hapa sijui wanawake tunapenda mteremko ndio maana tukaitwa wanawake nanyi wanaume, sisi ni jukumu lenu, sasa mambo yamebadilika siku hizi nasi tunafanya kazi ili tusaidieane ila sasa isiwe ndio chance ya nyie kubweteka na kuwa marioo, mwanaume lazima uwe "MWANAUME" hii itakupa heshima bila hataaa kutumia nguvu kuidai.
Habari wana jf, poleni kwa shughuli za ujenzi wa taifa.
Huku mkiendelea kupokea matokeo ya uchaguzi, naomba niongelee jambo moja la msingi ambalo nimekuwa nkilishuhudia katika jamii zetu na hata humu jf ni very common.
Wanaume mmekuwa kama mmepatwa sijui na pepo gani! Yaani ni kama nanyi mnataka kuolewa, mmekuwa watu wa kulalamika tuuuuuuu, kazi hamtaki na hata wenye kazi akili zimekuwa mgando anategemea mshahara mdogooo hata hajitanui kimawazo kusaka hela zaidi, au kazi yenyewe anafanya kivivuuuu muda mwingi yupo kwenye mitandao ya kijamii kujibizana na kutukanana na watu asiowafahamu na wivu usio na mpango kwa waliomzidi kipato.
Imefikia hatua mwanaume anamuonea wivu binti mdogo aliyeolewa na mwanaume (wa makamo) mwenye pesa, utakuta wamekaa wakimjadili binti na hata kumtukana na kuwachanganya wanawake woote kuwa wanapenda pesa (who doesnt), badala wakae wajiulize ni kwa namna gani huyo mwanaume mwenzao amefanikiwa kiasi hicho nao wajitahidi wamfikie au hata kumpita wamekalia majungu tuuuuuuu!! Utasikia mara free manson,mara pesa za madawa (maneno ya wakosaji).
Ni kweli kwamba maisha magumu and so on, ila isiwe excuse ya kuwafanya muwe marioo bila kujijua, wanaume wengi ni marios ila hawajijui tu, sasa si bora mijitanabaishe tuolewe wote tu na sio kuwa walalamishi that much, ni aibu sana tena sana kwakweli.
Msije kujifanya hapa sijui wanawake tunapenda mteremko ndio maana tukaitwa wanawake nanyi wanaume, sisi ni jukumu lenu, sasa mambo yamebadilika siku hizi nasi tunafanya kazi ili tusaidieane ila sasa isiwe ndio chance ya nyie kubweteka na kuwa marioo, mwanaume lazima uwe "MWANAUME" hii itakupa heshima bila hataaa kutumia nguvu kuidai.
You have to man up na mchukue nafasi zenu kama wanaume, kulalamika hakutokufanya uwe Bakhressa au Mengi, wivu pekee unaotakiwa kuwa nao ni wa kupiga hatua na sio kumuonea wivu k'lyn kwa kuolewa na Mengi (vipi wataka kuwa mke mwenzie?)
Nawasilisha, likikugusa waruhusiwa kutukana si ndicho mkijuacho zaidi.
Pale matumizi yako yanapozidi kipato cha familia maneno kama haya hayakwepeki!!!
we unafanya nini kumsaidia mwanaume wa aina hiyo au ndo kuja kumsema huku aendelee kuwa discouraged..
Yote katika yote pia, baadhi yenu muwe mnaangalia ka pia wazazi wenu wanapendana sababu mmoja alikua na hela.
Hizi tabia za siku izi za kupenda wenye hela mmerithi kwa nani?
Mi nilijua watoto huiga tabia za wazazi wake.
Je kama kwenu ni masikini, unamdharau mama kwa kumpenda baba yako aliye masikini?
Umeandika meengi ila wenye akili tushakusoma.
Hongera sana kwa kupata kibabu cha kukulea.............
Puuza maneo ya mtaani furahia dubwasha lako jipya..
Naelekea jukwaa la siasa kidogo kutibua kichwa kidogo, nitarudi
Hongera sana
Dada nani kakuudhi hivyo? Unaonaje ukimwita pembeni ukampa shule uone kama atakubishia? Una hoja nzuri ila kwakuwa unahasira umetukana bila hata kujua unatukana.
Wewe kama umeolewa na above 50 wako tulia nae na usijali maneno yao kwani hayo ni maisha yako. Binadamu daima watakuwa na la kusema. Na usiwalaume kwa kukulaumu kwani huenda walikupenda kweli ila ndoo hivyo bado wadogo hawajapata mkwanja. Wafanyeje?
Wanapenda kutelezea ganda la ndizi mbivuHabari wana jf, poleni kwa shughuli za ujenzi wa taifa.
Huku mkiendelea kupokea matokeo ya uchaguzi, naomba niongelee jambo moja la msingi ambalo nimekuwa nkilishuhudia katika jamii zetu na hata humu jf ni very common.
Wanaume mmekuwa kama mmepatwa sijui na pepo gani! Yaani ni kama nanyi mnataka kuolewa, mmekuwa watu wa kulalamika tuuuuuuu, kazi hamtaki na hata wenye kazi akili zimekuwa mgando anategemea mshahara mdogooo hata hajitanui kimawazo kusaka hela zaidi, au kazi yenyewe anafanya kivivuuuu muda mwingi yupo kwenye mitandao ya kijamii kujibizana na kutukanana na watu asiowafahamu na wivu usio na mpango kwa waliomzidi kipato.
Imefikia hatua mwanaume anamuonea wivu binti mdogo aliyeolewa na mwanaume (wa makamo) mwenye pesa, utakuta wamekaa wakimjadili binti na hata kumtukana na kuwachanganya wanawake woote kuwa wanapenda pesa (who doesnt), badala wakae wajiulize ni kwa namna gani huyo mwanaume mwenzao amefanikiwa kiasi hicho nao wajitahidi wamfikie au hata kumpita wamekalia majungu tuuuuuuu!! Utasikia mara free manson,mara pesa za madawa (maneno ya wakosaji).
Ni kweli kwamba maisha magumu and so on, ila isiwe excuse ya kuwafanya muwe marioo bila kujijua, wanaume wengi ni marios ila hawajijui tu, sasa si bora mijitanabaishe tuolewe wote tu na sio kuwa walalamishi that much, ni aibu sana tena sana kwakweli.
Msije kujifanya hapa sijui wanawake tunapenda mteremko ndio maana tukaitwa wanawake nanyi wanaume, sisi ni jukumu lenu, sasa mambo yamebadilika siku hizi nasi tunafanya kazi ili tusaidieane ila sasa isiwe ndio chance ya nyie kubweteka na kuwa marioo, mwanaume lazima uwe "MWANAUME" hii itakupa heshima bila hataaa kutumia nguvu kuidai.
You have to man up na mchukue nafasi zenu kama wanaume, kulalamika hakutokufanya uwe Bakhressa au Mengi, wivu pekee unaotakiwa kuwa nao ni wa kupiga hatua na sio kumuonea wivu k'lyn kwa kuolewa na Mengi (vipi wataka kuwa mke mwenzie?)
Nawasilisha, likikugusa waruhusiwa kutukana si ndicho mkijuacho zaidi.
kwenda uko uyo ulonae kwa kua ana vipesa ndo unasema anajielewa akiishiwa utamkimbia atakua hajielewi tena...we c useme tu kwamba unapenda mwenye pesa ili tukutafute wenye pesa tupo.Sijaja kumsema mtu wangu hapa, nashukuru nina mwanaume anyejitambua, he is a "MAN" hiyo ni kwa wanaume mliokalia kulalama tuuuu hamtaki hata kujiongeza, mtajifanya kutafuta visingizio na maneno ya kila namna ila ujumbe umefika, kataeni umasikini, umasikini ni dhambi.