Wanaume wotee sawa tu

Sitaki kuwa na mwanaume tena kwa maumivu niliyo nayo nimechoka kabisa.

Maumivu ya penzi omba yasikukute sito penda tena bora nitulie tu maisha yasonge basi.
Wanaume mnao jua kupenda mpo kweli
Kwa nini utuhukumu wote kwa ujinga wa mtu mmoja ambaye pia hujamtaja na hujaelezea madudu yake?
 
Pole hyo hali huuma sana ndo umeshajifunza next time usimpende mwanaume, the more unampenda ndo chance yakuumia ni kubwa sana. Mi nilishaapa nampenda babangu na kaka zangu basi the rest ya wanaume ni zaidi ya ma dog aisee
So wrong...that's what we call generalization...!
 
Basi watu mtatoa ushauri kwa kudhani mleta uzi yupo serious...hebu pitieni nyuzi zake zilizopita kwanza.

Sijui kwann siku hizi watu wanapenda kujipa jinsia ambazo sio zao
Ha ha ha ha
 
Exactly... We're flying in the same boat, why generalization?
 
Pole hyo hali huuma sana ndo umeshajifunza next time usimpende mwanaume, the more unampenda ndo chance yakuumia ni kubwa sana. Mi nilishaapa nampenda babangu na kaka zangu basi the rest ya wanaume ni zaidi ya ma dog aisee
Nao unawapenda, nao kuna wanawake wanawatazama kama unavyowatazama kaka na baba wa wenzio
 
Hata hao unaowalalamikia wamekuumiza mbona nao wanalalamika umewaumiza ,sema ngoma droo ata wao wamesema hawataki tena wanawake
 
Sitaki kuwa na mwanaume tena kwa maumivu niliyo nayo nimechoka kabisa.

Maumivu ya penzi omba yasikukute sito penda tena bora nitulie tu maisha yasonge basi. Wanaume mnao jua kupenda mpo kweli

Wapo mdogo wangu.... Tena wanapenda kweli kweli. Wanaume wanaojua kupenda kweli kweli bado wapo.
 
Huitaji sex mashine hata.kidole tu kinatosha tena hapo nje nje tu wala huingizi ndani
Hapo nje nje ni maeneo flani hivi napajua.Mie napitishaga dushe Kwa kulichezesha chezesha muda mreeefu,lazima KE azimie Kwa utamu
 
Pole sana , mbona tupo sana, tatizo hamjali upendo wa kweli unaotoka moyoni , mnajali upendo unaotoka mkononi , mapenzi ni maumivu yasio kinahi, karibu duniani basi jamaaa
 
Nadhan unahutaji faraja, kama hutojali tuanzishe mahusiano mapya nikupe faraja
 
Sitaki kuwa na mwanaume tena kwa maumivu niliyo nayo nimechoka kabisa.

Maumivu ya penzi omba yasikukute sito penda tena bora nitulie tu maisha yasonge basi.
Wanaume mnao jua kupenda mpo kweli
Itategemea, hata hivyo na wewe uangalie upande wako usiwataje tu wanaume lazima kuna sababu ya msingi labda au huenda na wewe ulichangia kwa kiasi flani, banzi huwa halipogi jicho moja tu ni macho yote mawili.
 
Kituna wewe unatumia method gani of comparison maana wanaume hatuwezi kuwa tunafana hivyo kama mapacha,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…