Sitaki kuwa na mwanaume tena kwa maumivu niliyo nayo nimechoka kabisa.
Maumivu ya penzi omba yasikukute sito penda tena bora nitulie tu maisha yasonge basi.
Wanaume mnao jua kupenda mpo kweli
Hahaha leo nimepewa feki za kutoshaaHahahahahaa... Hizi akili za ile ya toka mwaka 1977
ukishachoka Hayo Mambo Ukahitaji Mtoto NishtueHuitaji sex mashine hata.kidole tu kinatosha tena hapo nje nje tu wala huingizi ndani
Pole hyo hali huuma sana ndo umeshajifunza next time usimpende mwanaume, the more unampenda ndo chance yakuumia ni kubwa sana. Mi nilishaapa nampenda babangu na kaka zangu basi the rest ya wanaume ni zaidi ya ma dog aisee
Duuh hata Mimi nizaidi ya dog! Not fair.Pole hyo hali huuma sana ndo umeshajifunza next time usimpende mwanaume, the more unampenda ndo chance yakuumia ni kubwa sana. Mi nilishaapa nampenda babangu na kaka zangu basi the rest ya wanaume ni zaidi ya ma dog aisee
Pole hyo hali huuma sana ndo umeshajifunza next time usimpende mwanaume, the more unampenda ndo chance yakuumia ni kubwa sana. Mi nilishaapa nampenda babangu na kaka zangu basi the rest ya wanaume ni zaidi ya ma dog aisee
Tamaa zimekuponza, shida yenu mnapenda pesa zao afu mnajidai mnawapenda ukistukiwa unaliwa na kutupwa huko dustbin..Sitaki kuwa na mwanaume tena kwa maumivu niliyo nayo nimechoka kabisa.
Maumivu ya penzi omba yasikukute sito penda tena bora nitulie tu maisha yasonge basi.
Wanaume mnao jua kupenda mpo kweli
Una laani mshenzi wewe..!Huitaji sex mashine hata.kidole tu kinatosha tena hapo nje nje tu wala huingizi ndani
Mnatulaam mno..Pole mammie hawa viumbe basi tuu View attachment 908596
Na wewe unaniweka kwenye hili group??Usiukanie moyo mama
Try me loveSitaki kuwa na mwanaume tena kwa maumivu niliyo nayo nimechoka kabisa.
Maumivu ya penzi omba yasikukute sito penda tena bora nitulie tu maisha yasonge basi.
Wanaume mnao jua kupenda mpo kweli
Mm naamini kwamba kila mwanamke maishani lazima ukutane na mwanaume sahihi kwake kwa kilakitu tatizo wadada wengi wanafanya mambo kwa kukalili sisi wanaume tunabadilika kutokana na vipindi tulivyo navyo.....
Dada mwenye miaka 22-25 anaingia kwenye mahusiano ya kimapenzi na mwanaume miaka 40 mtu ambae kwa kiasi kikubwa kajijenga kiuchumi ana mambo yake mengi mazuri na anafamilia yake
Sasa huyu dada ikifika kipindi anataka kuolewa hawezi kuolewa na yule mwanaume kwasababu tayari anafamilia na huyu dada itabidi atafute was kwake ambaye kwa makadirio atakua na umri wa miaka 28+ ........
Sasa mahusiano yakianza huyu mwanamke anataka ahudumiwe kama alivyo kua akihudumiwa na yule mpenzi wake wa awali kitu ambacho huyu wa miaka 28 hajazoea kwanza bado hata kiuchumi hajajijenga ippasavyo japo ni kweli anampenda mwanamke lkn anahitaji muda zaidi ili ajennge kwanza maisha
Hapo ndipo wanawake mnafeli msipende kulinganisha japo sio wote
wanaume wote hatuko ivoPole hyo hali huuma sana ndo umeshajifunza next time usimpende mwanaume, the more unampenda ndo chance yakuumia ni kubwa sana. Mi nilishaapa nampenda babangu na kaka zangu basi the rest ya wanaume ni zaidi ya ma dog aisee