Wanaume wotee sawa tu

Wanaume wotee sawa tu

Pole hyo hali huuma sana ndo umeshajifunza next time usimpende mwanaume, the more unampenda ndo chance yakuumia ni kubwa sana. Mi nilishaapa nampenda babangu na kaka zangu basi the rest ya wanaume ni zaidi ya ma dog aisee
 
Sitaki kuwa na mwanaume tena kwa maumivu niliyo nayo nimechoka kabisa.

Maumivu ya penzi omba yasikukute sito penda tena bora niwe na sex machine tu maisha yasonge basi.
Wanaume mnao jua kupenda mpo kweli
Na uzae na machine hizo
 
Sitaki kuwa na mwanaume tena kwa maumivu niliyo nayo nimechoka kabisa.

Maumivu ya penzi omba yasikukute sito penda tena bora niwe na sex machine tu maisha yasonge basi.
sio kwel...wanaume wato hatupo sawa..usiseme ivo
 
Sitaki kuwa na mwanaume tena kwa maumivu niliyo nayo nimechoka kabisa.

Maumivu ya penzi omba yasikukute sito penda tena bora niwe na sex machine tu maisha yasonge basi.
Wanaume mnao jua kupenda mpo kweli
sio sawa, wanaume wazuri wapo.Muombe Mungu akusaidie
 
Hakika

Back
Top Bottom