wanaume wote tililika hapa!

You're just joking eeh!

[video]http://www.youtube.com/watch?feature=endscreen&NR=1&v =HjbUC66Bt6Y[/video]
umegundua the hidden text.

*gives BAK zawadi ya like kwa udadisi mzuri*
 
Nilipoona zile brackets machale yakanicheza ikabidi nizichungulie vizuri na kugundua ulichokificha lol!

umegundua the hidden text.

*gives BAK zawadi ya like kwa udadisi mzuri*
 
WANAJAMII NOAMBENI MNISAIDIE NITAPATAJE MWANAUME MWENYE MAPENZI YA DHATI AU WAUKWELI MI NIKO KATIKA HALAKATI ZA KUMTAFUTA MWENZA WANGU WA MAISHA PLEASLE NAOMBENI SIFA ZAO.:msela:
 
asipeleke bidhaa kwa watu wengine. Mie tu basi.
 
Hahahaaaa! Afanye mpango TUSHARE ALL BANK ACCOUNTS, na kunipa mandate ya kuchop chop. Hapo tambarareeeeee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…