playboy babu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 2,661
- 1,581
SO?Salaam..
Nilipokuwa mdogo.kabla sijawa mkubwa wa kujitambua nilikuwa napenda sana wanaume weupe.
Na akili za utoto tena, Nikawa nasema kwa nini baba hajawa mweupe,,
Pengine nami ningekuwa mweupe.
Tokea nimefikisha miaka kumi na mitano na kuendelea mpaka Leo.
Sijawahi kuwapenda wanaume weupe hata kidogo.
Sio kwa ubaya. Ila sina mapenzi na rangi nyeupe kabisa.
Angalau mwanaume awe na rangi ya Maji ya kunde,
Mda mwingine mpaka najiuliza vipi hawa wanawake wanawapenda wazungu??,
Ikiwa Mimi mwanaume akiwa mweupe haijalishi ni mwafrika au Mzungu si wapendi kivileee..sio kimapenzi hata kwa urafiki wa kawaida tu...
vipi wewe unavutiwa na mweupe au mweusi.
Haya. Hongerasista hii siyo blog ya ngono ningeshatuma picha hapa mm halafu namaaanisha
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji53][emoji53][emoji53]
karibu tena inaelekea unapenda sana mihogo wwHaya. Hongera
Ujana haubagui.[emoji53][emoji53]
Kwani weusi wote wana mihogo???karibu tena inaelekea unapenda sana mihogo ww
kuwa na muhogo inatokana na hormones wakati wa ukuaji na si rangiKwani weusi wote wana mihogo???
Ujana haubagui.[emoji53][emoji53]
We tupakazie tu haina shida.Hapana. Hata wanaume mnaruhusiwa kusema hochote.afu [HASHTAG]#daby[/HASHTAG] wewe si mweusi. Naona hapo kwa profile mbona nduki
Sipendi weupe, muhogo baki nao napenda vibamia, na six pack zako pita hivi napenda one packkaribu mi ni mweupe peeee na ninasix pack,inchi 9 muhogo,na pochi imejaaaaa samahanii kwa kujipa promo
Sent using Jamii Forums mobile app
pochi haujaongelea halafu wape moyo wenye v bamia tu na mitumbo kama mimbaSipendi weupe, muhogo baki nao napenda vibamia, na six pack zako pita hivi napenda one pack
kwanza tuanze ww mwenyewe una takoSipendi weupe, muhogo baki nao napenda vibamia, na six pack zako pita hivi napenda one pack
Pochi umekuwa mwanamke wewe?pochi haujaongelea halafu wape moyo wenye v bamia tu na mitumbo kama mimba
sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
Tako ninalo, wewe unakalia mgongo?kwanza tuanze ww mwenyewe una tako
sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
bank statement? makaratasi tu yale tunahifadhi hela kwa madini sa hiii we unaongelea karatasi watu tunatumia bitcoin kuchanhe madiniPochi umekuwa mwanamke wewe?
Nacheki bank statement, pochi unaweza ukawa umejaza mabusiness card na mauchafu mengine
simaaanishi tako tako tu namaaanisha churaaaa au msambwanda wa ukwe'eee usiopimika kwa machoTako ninalo, wewe unakalia mgongo?
Hongera na Kila la kheri, uniache sasabank statement? makaratasi tu yale tunahifadhi hela kwa madini sa hiii we unaongelea karatasi watu tunatumia bitcoin kuchanhe madini
sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
kaa kwa kutuliaHongera na Kila la kheri, uniache sasa