Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,552
- Thread starter
-
- #201
Kumbe. Asante kwa somoSuper woman 2, mwanaume ni mwanaume tu awe mweupe au mweusi ni mwaaume. Hizo tofauri za rangi ya ngozi ni kutokana na wingi au kupungua kwa melanin na cyo vinginevyo.
Kuna brother mmoja mweusi tii...kama usiku wa giza,nikimuonaga siku yangu huwa njema. Mwanaume ni mwanaume mweusi bhana. Wengine wanisamehe tu.Afu nahisi weusi wapo vizuri... In........
Upendo tunikuunganishe na Kundi la muziki la WEUSI?? Utachagua umpendae..
BTW nini hasa kinakufanya utupende sisi wanaume weusi/maji ya kunde?
Daah!bora umeniwahi asee.....hajui kuwa sisi wanaume weupe tunalinda status zetuWanamme weupe wengi tunapenda madem weupe asa we mweusi utatupataje
Kila siku unanichomesha mahindi tu... ngoja nijatribu bahati sehemu nyingine...Kwani wewe huna^%$## pendekezwa? hahahahahahaah, usinisuse njoooooooooooooo
Nikikurudishia ntakukosea adabu. . Niletee Kamba. Na mti wa nkujinyongea.ngoja nikuache Kama ulivyo. Matusi jadi yakoJinyonge basi ili usituone kabisa, kenge wewe.
Siwezi kuwapata.na hamuwezi kunipata. Coz Mimi cheusi mangalaWanamme weupe wengi tunapenda madem weupe asa we mweusi utatupataje
Hawana ishuu[emoji3]hata mimi pia siwapend wanaume weupe! Hajawahi nivutia ata siku moja!
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Kutoka rohoni,napenda sana mwanaume mweusi,awe na mwili wa wastani,ila nisimpite kimo. Ikibidi sana tulingane urefu.
Pongezi kwa wanaume wote weusi.
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji122] kitu black bwanaaa.kuna watu wanatokwa mapovuuuSuper women 100%. Mi mwenyewe kiukweli sipendi mtu mweupee napenda maji ya kunde au super black
Hakika wanavutia na hasa wakiwa smart.Kuna brother mmoja mweusi tii...kama usiku wa giza,nikimuonaga siku yangu huwa njema. Mwanaume ni mwanaume mweusi bhana. Wengine wanisamehe tu.
Endeeleeni kujifarijiDaah!bora umeniwahi asee.....hajui kuwa sisi wanaume weupe tunalinda status zetu
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Umekuwa bank. Zilazimishe zikae
Nijifariji vp tena....mi nasema kilicho kweliEndeeleeni kujifariji
Sawa. TumekusikiaNijifariji vp tena....mi nasema kilicho kweli
[emoji108]Sawa. Tumekusikia
Tena ukimpata mweusi halafu awe mrefu kiasi, pia #$#@@ iwe saizi pendekezwa unaenjoy sana, hahahahahahaahahah
Sema chochoteeeUshatanga chuki na rangi yangu hapa sicomment napita tu[emoji124] [emoji124] [emoji124]