Wanaume wenzangu tubadilike

Wanaume wenzangu tubadilike

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
3,713
Reaction score
11,612
Wanaume wenzangu tunatafuta pesa kwa tabu sana, pia tukishapata pesa nazo zitutese kweli?

Hawa wanawake tunaowaita pisi kali ni pasua kichwa, wanaume tukishapata mafanikio tunajinasibu kuwa sasa ndio muda wa kuowa mwanamke mkalii pisi ya kwenda.

Nawakikishia hakuna pisi inayoweza kutulia kwenye ndoa, pisi anachokifuata kwako ni pesa tu, akishafanikisha alichokifuata kwako jiandae kwa vituko mwisho wa siku kama hauna moyo wa kuvumilia au haupo tayari kumuacha utaripotiwa na Millard ayo kuwa umefanya tukio la kutisha.
 
Pisi kali = Upopo = Kiguu na njia = GOLD DIGGER

Mke - Mtoto wa kike, binti, mwanamke, mama, mlezi, hofu ya uwepo wa Mungu

"Ukitaka kujua busara ya mwanaume, mwangalie mke wake!"
 
Halafu Eti kuna mtu “atasema tafuta pesa”

Pesa gani sasa?

Unaweza kuwa na pesa na usipate furaha ya penzi.

Unaweza kuwa na pesa ukamjengea mwanamke na mali nyingine lakini bado ukakosa furaha na amani na hata kupoteza maisha!
 
Hizo pisi kali zinadanganywa na yule mkinga mshamba tajiri uchwra sijui vunjabei kila siku kujifanya ana pesa mbona kaachwa na mabetto yule jamaa swagaa zero then watoto wa town hata Kama hauna pesa ndefu ndefu ila ukiwa mjanja unakula wakina calisah watoto wa town madem hawachomi ila sio pesa sana kama tunavyoaminishwa

Pes ina ukomo demu ikishamgungulia business tayar ushampa mwendo lazima atafut kijana smart anajua kupiga kazi kitandani wewe na mipesa yako una mawazo ya biashara huo mda wa sex na kutuliza akili unautoa wapi

Pesa sio kila kitu ni msemo tu "TAFUTA PESA " unavuma utapita

Kingine chagua mke wachana na hawa wanuka chupi waone wazuri kwa nje ukishakojolea unajiuliza ndo huyu kweli hata kunawa hayanawi kujifuta na leso wengine papa zinanuka kila jmaa anapita
 
Kila mtu afanye alionalo jema kwa upande wake, mambo mengne s ya kushauriwa ama kufuata ushauri.......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom