Wanaume wenzangu somo muhimu kwetu

Wanaume wenzangu somo muhimu kwetu

Status
Not open for further replies.

Airmanula

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
3,524
Reaction score
5,785
Aise kuna clip inazunguka mitandani ya mwanandoa ameamua kutoa ya moyoni

wanaume wenzangu kifupi ni kwamba hawa wake/wachumba/wapenzi tuwato**e wakojoee jamani yan kama hujafanya hivo andika MAUMIVU ...sio suala la utani, sio unaenda unaingiza na kutoa kama unabrashi mswaki ...wakojoeee yani hakikisha kakojoaaa hilo tuuu basi...unakuta mwanamke ana mihasira hasira jaribu kuchunguza kwenye maofisi baadhi kama ulishawahi kuhudumiwa na mdada akawa anakufokea tu [emoji23][emoji23] ni kwamba hajatom**wa akakojoaa jamani wanaume wenzangu...au fatilia ile mida ya jioni kwenye mafoleni yenu humo mijini mtu na mwenzie wamekaa kwenye gari utafikiri ma[emoji359] na lihsu wamekaa gari moja yan hawaongei hata kutazamana kabisa ukifatilia hakuna sabab ingine zaidi ya kwamba HAJAKOJOA ....mwanamke wa watu masikin miezi kibao hajui raha ya kukojoa jaman nawaoneaga huruma hao wanawake wanapata shida sana ndo mana unakuta ndoa nyingi zinavunjika vunjika kama mifupa, ukifatilia ni kwamba mwanamke HAKOJOI ..na nyie wanawake msifekishe kukojoa ..kama hukojoi sema mwambie mwenzio labda kama uko kibiashara zaidi au kipesa zaidi lakini kama sivyo una haki ya kukojoa ...

Wanaume wenzangu hakuna raha anayoipata mwanamke kama kukojoa ...sio unaweka mara ooh yasinta nakojoa kitu waaah unajeuka upande wa pili unakoroma unanuacha yasinta wa watu anaumia mana ni kama umefanya work done equal to zero.

Nafurah ya kwamba kuna siku nlimkojoza mwanamke zaidi ya mara 6 yan baada ya gemu akawa anacheka.cheka tu, ndivo inavopaswa iwe wanaume wenzangu.

NB: kukojoa ni kufika kilele
 
nani kakudanganya kumkojolesha mwanamke ndio utamfanya asiwe na hasira. . .inaonekana wewe bado mgeni sana kwa wanawake
 
Halafu tutalalamika wazungu wamegundua dawa ya saratani ila hawataki kutupa wanataka tufe sana tu waje kuchukua makinika?
 
Wanawake wanadanganyana sana, si kila mwanamke anaweza kukojoa..

Mtuoneni huruma jamani, maisha yenyewe magumu haya tunatafuta hela kama Dkt Shika..
 
nani kakudanganya kumkojolesha mwanamke ndio utamfanya asiwe na hasira. . .inaonekana wewe bado mgeni sana kwa wanawake
Hahah endleea kujipa moyo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom