Wanaume wenzangu ngoja niwaambie kitu

Wanaume wenzangu ngoja niwaambie kitu

Nikitoa neno hapa nitaambiwa nina nongwa na vijana....ngoja nijipitie kimya kimya nikawahi gahawa......

Lakini kuna tatizo kwenye vichwa vya vijana wa taifa hili....

Hasa huyu kijana mtoa mada anatakiwa kumuona mtaalamu wa saikolojia haraka iwezekanavyo.....
 
Samahan naomb nijue hiyo katerero ninin maan nishakutan na wahaya km watatu wanasem hivyo ukiwaauliz wanasema katafute mwanaume wa kihaya akufanyie hivyo ni nini
Nimekutana na hao watu katerero ni kitendo cha kupiga piga kichwa cha uume kwenye via vya uzazi vya mwanamke hasa ktk eneo maalum la clitor hapo unaweza kumfanya mwanamke kuskwat(Much orgasim) na kusikia raha sana bila uume kuingizwa ndani ya uke
 
Back
Top Bottom