Wanaume wenzangu naombaeni niwaulize

Duh!
Wanawake watu wabaya sana
 
[emoji1][emoji1787][emoji23][emoji38]hatari sana mambo ya Dunia
 
mimi nilivuta hisia zote lakini iligoma kabisa kabisa


Huyo NYOKA wako anazo hisia kali kwani aliona haiwezi ingia ndani ya hilo SHIMO ndio maana akagima.
 
Hiyo kawaida sanaaa hasa unapokuwa na hofu flan mfano ww ni kama mm mambo ya kununua malaya aiseee nayaogopa sanaaa siku moja nlikuwa Dodoma kwenye mkutano sasa sababu tuko wengi usiku niko na washikaji bar wakasema aisee hawa wahudumu tuwachukue tukawapige nkakubali shingo upande tukapatana bei wangu alitaka elf 30 usiku kucha nkasema poa kwenda room mashine haikusimama kabisaaa ikabd nimtimue demu.
 
kweli nahisi ni hofu maana ilikua ndio mara yangu ya kwanza sijawai kabisa kununua changudoa, siku hyo ndo nimemnunua ngoma ikagoma jaribu kuichezea wapi, mpk nikamwambia basi ngj mi nisepe
 
Ni kawaida hutokea.Wengine hata ktk kuvaa kondomu kama alizoea mnofu,siku akitakiwa kivaa kuvaa inasinyaa na kugoma.Ila akiruhusiwa kula bila ndomu inasimama balaa.


Nadhani ni issue ya kisaikolojia.
 
Dada poa?Okay-dokey!
 
Ulishajitengenezea hofu kutokana na muonekano wa mtoa huduma
 

Kumbeeee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…