Wanaume wenzangu naombaeni niwaulize

Mim haijawah nitokea,ila kuna jamaa yangu aliwah niambia hii inshu ilimtokea,

Mim nimegonga mpaka vibibi lakin haijawah tokea kugoma,huwa navuta hisia mpaka ngoma inakubal napga hata goli nne kwa kibibi
Siyo sifa[emoji1787][emoji1787]
 
Mwanangu umekazia point ya msingi saana big up
 
ndio ilikua mara yangu ya kwanza kutaka kugonga demu anayejiuza na nilishinikizwa tu na jamaa yng maana yeye ndo huwa mambo zake izo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]eti nilishinikizwa na jamaa angu[emoji1787]
 
endelea kutukana....ila kama imekutokea hiyo ndio dalili kuu......jiandae kupumuliwa, kijeba wewe....
Hio ndo michezo yako ndo mana umekua mwepesi kuitamka.....

Jukwaa limevamiwa na teenagers ambao wanamichezo michafu aisey!
 
Hata kule Sudan temeke ndio michezo yao

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Unaenda kuchukua dada poa afu unachukua yenye kitambi?Ni sawa na kwenda sokoni afu ukanunua nyanya mbovu
 
 
Mambo ya jogoo kugoma bora yakukute mbali na watu (watu wasijue), raia wa kitaa hawana dogo, wakijua tu kwamba jogoo kagoma kwa siku moja tena kwa bahati mbaya, watakutangaza utafikiri hilo ni tatizo lako la kudumu.

Mnaokaa nyumba za kupanga vyumba vya kubanana, kama huna mood ya sex usilazimishe. Miaka fulani wakati nimepanga uswazi, mida ya saa 5 usiku kumetulia kila mpangaji kazima radio anatafuta usingizi, chumba cha jirani yupo kwenye harakati na mkewe halafu mambo yanagoma, wanawake wa uswazi kama kawaida yao hawawezagi kuongea polepole, jamaa mambo baada ya kumgomea mwanamke akaongea kwa sauti "mh!, hiyo mboo mbona haidindi?!, nimejitahidi lakini haidindi"

Nikajua nimewasikia peke yangu, wapangaji baada ya kuamka asubuhi nyimbo za mafumbo kwenye masabufa zikaanza kumfumbia mshkaji, mara "mtalimbo umelala doro", wengine "unataka mifupa una meno?" , "nimeliona joka libwelile" n.k
 
Walikua wanawarogaje mkuu?
 
Wewe wakati unamchukua huyo mwanamke ulimkagua muonekano wake kama unakufurahisha?! Maana inaonyesha haukumuelewa hata kidogo unafosi tu.....
 
Kuna manz alijidai kunywa dawa ya
Walikua wanawarogaje mkuu?
Magonjwa ya zinaa ya kienyej.... Lakn dawa ile ilikuwa Ina kiwembe , sindano pamoja na nywere ambazo mm nahisi ilikuwa ni vuzi.....two days before yule manzi alijigamba kuwa kapata buzi ambalo wananyoana Hadi vuzi ......

Ilikuwa ni msala boss..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…