Wanaume wenzangu msitume nauli

wajinga hawaishi acha watumiwe nauli hakuna namna na huko Facebook kwenu wengi mnapigwa kwa style hizo
Shunie, ni Facebook ipi kuna Hao wanaotumiwa nauli?
 
wanawake wanazurula wa nauza papuchi,ukimuuliza kulikoni yeye anakwambia alikuwa msibani,dunia iangalie tu hivi ina mambo mengi sana yani wao tu ndo huwa wanauguliwa na mama zao,wao tu ndo huwa wanapata misiba..ee Mungu tusaidie sisi wanaume ambao bado tunaamini kuwa maisha yetu hayawezi kusonga mbele bila kuishi na hawa viumbe japo wengi wao ni wanafiki wanaopenda kuchuna upande mmoja wao wasichunwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…