dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,936
- 8,345
Unamkatia ticket ya bus akifika anapanda tu anakuja!wasitubababaishe!Kama demu hujawahi mkaza hata mara moja usimtumie nauri ili aje. Nimepokea malalamiko toka kwa wadau kibao kuwa mademu wengi siku hizi wanaomba watumiwe nauri lakini wakishatumiwa hawafiki eneo la tukio. Watasingizia visababu kibao vya kijinga.
mimi kama mwenyekiti wa WWI ( wazee wa importation) nimechoka kusuruhisha migogoro ya aina hii kwa hiyo nasema, "usitume nauri kwa manzi aliyembali kama hujawahi kumkata hata mara moja".
Ni hayo tu.
Mmhkwel kabisa Hakuna kutuma NAURI MURAA!!
Ha ha ha ha nin tena mzee mwenzangu?
Ha ha ha wewe tena, acha nipige miluziwajinga hawaishi acha watumiwe nauli hakuna namna na huko Facebook kwenu wengi mnapigwa kwa style hizo
halaf huyo alikua anakutafuta anasema umepoteaHa ha ha ha nin tena mzee mwenzangu?
Hah ha ha ha labda ya mwendokastuma tuu
Umepotea... naona tunapotea kwa awamu huku . Hii ni awamu yakoHa ha ha ha nin tena mzee mwenzangu?
mm ndio nitumie nauli na mm nije dar kukutembeleaHa ha ha wewe tena, acha nipige miluzi
Ha ha h ah nmepotea wapi tena mbona nipo sanaaahalaf huyo alikua anakutafuta anasema umepotea
ndio umuulize alikua anasema hakuoniHa ha h ah nmepotea wapi tena mbona nipo sanaaa
Ha ha ha ha nipo aisee ila si unajua shemej yako siku hzi anakabia golinUmepotea... naona tunapotea kwa awamu huku . Hii ni awamu yako
Kwan wewe hujaniona au ndio unataka kuntumia naulindio umuulize alikua anasema hakuoni
Haha.... kageuka de gea..Ha ha ha ha nipo aisee ila si unajua shemej yako siku hzi anakabia golin