Hahaha kuna baadhi ya wanaume kwao ni poa tu hasa hawa wa kizazi cha sasa.Asalaam Aleykum waungwana
Kiukweli nimejiuliza sana
1. Utumie choo kimoja na wakwe
2. Uangalie TV moja na mkwe
3. Ulalie godoro la mkwe atleast kwa wiki 1
4. Ule chakula ukweni kwa raha tu tena uongeze
5. Sometimeuendeshe gari la mkwe ukapige nalo misele
Ujasiri huu unatoka wapi? Yaani nimekaa ukweni masaa matatu nikahisi kama nipo mahabusu ndogo.
Wanaume wenzangu mnatumia nini hadi mnapata ujasiri wa kuishi ukweni?
moderator msiunge uzi huu bila kuniconsult
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha....hahahah
Pilipili iko shamba inakuwashaje?!Asalaam Aleykum waungwana