Mkuu nilikuwa napiga mahesabu, almost kama siku 3 hadi 4πππππ
Daaaah..... inaonyesha wewe una boxer special kwa ajili ya matukio.ππππNibadilishe boksa kwani kuna demu mkali anakuja ghetto?!
You are 101% right. Hiyo ni technique yangu ya mda mrefu sana, nikadhani ni mimi tuπππππKila ukioga unainusa ukiona iko fresh unaivaa tena asee uwanaume raha sanaaa
AiseeeeKuna wengine hawabadilishi, mpaka akiivua na kuisimamisha, ina simama DEDE bila hata sapoti.