Aiseee.... nimeipenda hiiMkuu ngoja nikusaidie kuliweka bandiko lako kisayans...
Kuna sifa(characteristic)nyng tu za human ngoja tuangalie hiz kupitia psychiatric
1/Hypomania(mania)
sifa ya watu hao
:ni mfupi,kifua kipana,mchesh,hatulii sehemu moja anapendelea nguo za kuonekana sana na pia ana high Libido(kuwa na hamu ya Ku do mapenz sana)
Mara nyng huota kitambi,,km ni demu anashepu sana na mkiweka ahad(promis) lazima aje never cancel a Promis May be iwe tatizo lko njee ya uwezo wake,,unaweza pia ukajichunguza au ukamchunguza demu wako km ni mfupi hana complications sana ukimwambie aje mageton.
2/Schizophrenia
..mrefu, shingo ndefu they hav long extremities
Low Libido,,hawana time sana na mapenz japo they satisfy more thn any one kwenye sex,na anapendelea zaid mapenz ya sir..hapend show off
Huwa wamapenda kuahirisha mambo,,cancel the Promis km ni demu anaweza kuja geto siku usio tegemea na mlpanga aje siku fulan km unademu mrefu jaribu kumchunguza...
Kwahiyo tabia na hulka za mtu huwa zinaendana na maumbile yake pia jins alivyo tu
mkuu umeua[emoji3] [emoji1] [emoji2] hapo mtafiti lazima akae!Nikifanya mazoezi kitambi kikaisha na hiyo tabia inaisha??
Kuna ka ukweli hapo, maana nami nina kitambi a.ka. mimba kama ya miezi 3, napenda wanawake, mcheshi na nina mtoto nje, MSEMA KWELI MPENZI WA MUNGU..
Mtu mwenye kitambi ni mtu ambae asili yake anapenda dezo, vitu vitamu, mvivu wa kufikiri na kutenda, ambae kuhusu future haumizi kichwa na ndo maana anakuwa na kitambi(''mvivu wa kufikiri na kutenda'':-kumbuka ubongo huhitaji zaidi ya asilimia 75% ya chakula unachokula sasa kama wewe ni mvivu wa kufikiri chakula hicho kitabadilishwa kuwa fats na hatimae kitambi! ). Anakuwa mzinzi kwa sababu ya tabia ya asili ya kupenda vitu vitamu, na mara nyingi haiwezekani kufanya mazoezi kutokana na hizo tabia za asili za kupenda dezo na mteremko!!..... Kumbuka ninavyosema 'tabia za asili' namaanisha zile tabia za kuzaliwa na mbazo mara nyingi zinakuwa inheritable na ni genetic related!!~And that is the science behind the concept!Nikifanya mazoezi kitambi kikaisha na hiyo tabia inaisha??
Naamini unatania..Mtu mwenye kitambi ni mtu ambae asili yake anapenda dezo, vitu vitamu, mvivu wa kufikiri na kutenda, ambae kuhusu future haumizi kichwa na ndo maana anakuwa na kitambi(''mvivu wa kufikiri na kutenda'':-kumbuka ubongo huhitaji zaidi ya asilimia 75% ya chakula unachokula sasa kama wewe ni mvivu wa kufikiri chakula hicho kitabadilishwa kuwa fats na hatimae kitambi! ). Anakuwa mzinzi kwa sababu ya tabia ya asili ya kupenda vitu vitamu, na mara nyingi haiwezekani kufanya mazoezi kutokana na hizo tabia za asili za kupenda dezo na mteremko!!..... Kumbuka ninavyosema 'tabia za asili' namaanisha zile tabia za kuzaliwa na mbazo mara nyingi zinakuwa inheritable na ni genetic related!!~And that is the science behind the concept!
Mambo magumu na makubwa kiasi hicho unayatolea 'statement' simple namna hiyo mkuu???? Are you serious??Naamini unatania..
Mkuu kumbe upo serious..Basi jaribu kupitia upya notes zakoMambo magumu na makubwa kiasi hicho unayatolea 'statement' simple namna hiyo mkuu???? Are you serious??
Haya mwalimu!Mkuu kumbe upo serious..Basi jaribu kupitia upya notes zako
Haya..Utanipa feedbackHaya mwalimu!
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full of confidence!......Endelea kuishi na kuitawala JF mkuu!!Haya..Utanipa feedback
We uko kundi gani mkuu?The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full of confidence!......Endelea kuishi na kuitawala JF mkuu!!
Yan upo sahihi kabsa!!! ..%Mkuu ngoja nikusaidie kuliweka bandiko lako kisayans...