Simplicity.
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,636
- 1,664
Chukua like 10000Nikifanya mazoezi kitambi kikaisha na hiyo tabia inaisha??
Weye naona hao jamaa walikulia keki yako.Maana ktk nchi yetu Watu wenye vitambi ndio wanajulikana Kama wanautajiri.Dadazetu lazima ang'ag'anie hivyo vitambi.Utafiti nilioufanya kwa muda mrefu, umebaini kuwa wanaume wenye vitambi ni wazinzi sana. Sio ofisini, sio marafiki, sio kanisani, wanaume wenye vitambi ambao nawafahamu kama marafiki, ndugu au wafanyakazi wenzagu ni wazinzi sijawahi kuona.
Sasa usikute ana kitambi halafu mnene, ni balaa. Ole wako sasa ukute ana kitambi, mnene halafu mfupi, huyo hatakuwa mzinzi, wengi wa dizaini hiyo ni wazinzi plus. Vile vile hawa jamaa ni wasiri sana, ingawa huonekana ni watu rahisi "easy going", wanapenda stori stori za kuchekesha, hasa na wanawake, na kila jambo hulichukulia kiurahisi. HAWA JAMAA WANAONGOZA KWA KUWA NA WATOTO NJE YA NDOA.
Utafiti nilioufanya kwa muda mrefu, umebaini kuwa wanaume wenye vitambi ni wazinzi sana. Sio ofisini, sio marafiki, sio kanisani, wanaume wenye vitambi ambao nawafahamu kama marafiki, ndugu au wafanyakazi wenzagu ni wazinzi sijawahi kuona.
Sasa usikute ana kitambi halafu mnene, ni balaa. Ole wako sasa ukute ana kitambi, mnene halafu mfupi, huyo hatakuwa mzinzi, wengi wa dizaini hiyo ni wazinzi plus. Vile vile hawa jamaa ni wasiri sana, ingawa huonekana ni watu rahisi "easy going", wanapenda stori stori za kuchekesha, hasa na wanawake, na kila jambo hulichukulia kiurahisi. HAWA JAMAA WANAONGOZA KWA KUWA NA WATOTO NJE YA NDOA.
I was thinking the same thing aaaahhhaaaa . Asante kwa kuniwahi . Ahaaaaa uwiiiiiii mbavu zangu ... Thanks.Uwiiiiiiiiiii! Lakini kuna kaukweli
"Ha ha ha Kijana naona unanizungumzia wewe.."Utafiti nilioufanya kwa muda mrefu, umebaini kuwa wanaume wenye vitambi ni wazinzi sana. Sio ofisini, sio marafiki, sio kanisani, wanaume wenye vitambi ambao nawafahamu kama marafiki, ndugu au wafanyakazi wenzagu ni wazinzi sijawahi kuona.
Sasa usikute ana kitambi halafu mnene, ni balaa. Ole wako sasa ukute ana kitambi, mnene halafu mfupi, huyo hatakuwa mzinzi, wengi wa dizaini hiyo ni wazinzi plus. Vile vile hawa jamaa ni wasiri sana, ingawa huonekana ni watu rahisi "easy going", wanapenda stori stori za kuchekesha, hasa na wanawake, na kila jambo hulichukulia kiurahisi. HAWA JAMAA WANAONGOZA KWA KUWA NA WATOTO NJE YA NDOA.
"..Leba"Research yako umefanyia wapi mkuu?