franksarry
JF-Expert Member
- Nov 9, 2009
- 1,284
- 481
kumbe wewe ni bonge nilidhani kimbaumbau1. Wanaonuka midomoo
Hawa husababisha kupotea kwa hisia za mapenzi ghafla baada ya kusikia harufu mbaya kutoka kinywani wakati wa romance ukitoka hapo lazima uteme mate mwezi mzima.
2. Wenye harufu mbaya ya mwili /kikwapa
Akikukumbatia lazima ukaoge na magadi mche mzima utapuliza marashi ya kila aina nguo ulizovaa lazma ufue na povu la omo maana ukijinusa tu unahisi ile harufu yake ambayo husababisha kichefuchefu.
3. Wenye maandalizi mabaya wakati wa tendo la ndoa
Hawa ni wale wasiojua sehemu muhimu zinazotupa ashki wakati wa tendo la ndoa zaidi ya hapo akiona yeye yupo tayari anakuvamia tu na kuanza mechi wakati mwanamke hajawa tayari
4.Wanaume wanaopenda kuongea maneno ya kejeli katikati ya mechi
Mfano: Mbona haukatiki kiuno
:Mpenzi wako wa zamani anaitwa nani ?
:Mimi na uliyeachana naye nani anakufurahisha
Jaman jaman muwe mnaongea mambo ya kusifia sio kejeli mnatupotezea mizuka ya mechi maneno kama "Baby ongeza kasi ya kiuno my sweety wangu nahisi nipo bustani ya eden"
5. Kutokutufikisha kileleni hufanya tusione raha ya tendo la ndoa hivyo hupelekea tukose hamu ya tendo la ndoa
6. Team vibamia
7. Style za mapenzi mnazotufanyia
Unakuta goli moja lakini mwanaume anakugeuza geuza utazani anachoma nyama ya mbuzi mara miguu juu mara mguu kichwani mara mikono inashika chini mara kichwa juu kushoto kulia kama mnasonga ugali
NB:
Jamani wengine mkitupa mastyle ya ajabu kesho unaamka viungo vyote vya mwili vinauma hasa tusiokuwa na mazoezi kazi zingine tunazofanya hazitupi muda wa mazoezi kuweni wastarabu wakati wa mechi
Rais wa chama cha mabongeeeJf.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe sikujua hilokumbe wewe ni bonge nilidhani kimbaumbau
nilikuwa nadhani ni mwembamba hahahaKumbe sikujua hilo
Jiwe lishampata mtu huko..Yote yako vizuri ila vibamia usiwalaumu sana coz hawajajiumba
Naona unacheka sanaa, hebu kajilengeshe kwa huyu jamaa
Kumbe wee shoka moja mmbuyu chinikumbe wewe ni bonge nilidhani kimbaumbau