Kabla hatujakuambia ukweli hebu tufanye ka research kupitia kwako:
We umeolewa? Kama ndio
Unatamani kutoka kwenye ndoa yako?
Ushakutana na waume za watu wangapi?
We Hujaolewa? Kama ndio
Ushakutana na waume za watu wangapi?
Unatamani kuolewa?
si nimekaona hako karesearch mahali jamani?hako ka-research umekafanya wewe au wamefanya wengine. Je sample yako ya research ilikuwa ya watu wangapi? Usije ukawa uliona watu wawili au watatu wenye matatizo yanayofanana uka-draw conclusion. Research zina utaalamu wake mkuu.
Katika hiyo 99% kuna haja ya kubisha? We mwenyewe utatoka?una maswali magumu........we si ukubali kama ni kweli au si kweli.....aahhhh.......
kuna haka karesearch nimekaona mahali
eti
wanaume wenye ndoa katika katika10 -8 wanatoka/wanatamani wanawake wa nje
wanawake ambao hawajaolewa asilimia 90 wanatamani kuolewa
wanawake walioolewa asilimia 99 wanatamani kutoka kwenye ndoa zao
je kuna kaukweli jamani?
kuna haka karesearch nimekaona mahali
eti
wanaume wenye ndoa katika katika10 -8 wanatoka/wanatamani wanawake wa nje
wanawake ambao hawajaolewa asilimia 90 wanatamani kuolewa
wanawake walioolewa asilimia 99 wanatamani kutoka kwenye ndoa zao
je kuna kaukweli jamani?
Kuna ukweli asilimia 90%
Ukishakaa mwanamke muda mrefu mnakuwa mmeshazoeana
kiasi cha kukosa hamu ya tendo kuu.
sasa kakipita kakuku ka kienyeji huwa ni vitamu sana basi unaamua kupumzika hapo.
Hii inaweza kuwa kweli kabisa, unajua mimi nimeoa na nina mtoto mmoja lakini kila nionapo avatar ya Preta udenda unanimwagika.una maswali magumu........we si ukubali kama ni kweli au si kweli.....aahhhh.......
una vikuku vingapi?
Hii inaweza kuwa kweli kabisa, unajua mimi nimeoa na nina mtoto mmoja lakini kila nionapo avatar ya Preta udenda unanimwagika.
hao wa kithungu una jeuri nao basi au uunajifagilia tuu?sikumbuki idadi ila nimeshapitia vingi tuu bebii hata lakini kuku wa kidhungu mmhhh
siwapendi sana maana wana harufu ya manywele yao yananuka sana mpaka
unakosa ladha halisi ya ile kitu bana,bebii na wewe kwa kunifuatilia?
Sikumbuki idadi ila nimeshapitia vingi tuu bebii hata lakini kuku wa kidhungu mmhhh
siwapendi sana maana wana harufu ya manywele yao yananuka sana mpaka
unakosa ladha halisi ya ile kitu bana,bebii na wewe kwa kunifuatilia?