Wanaume wenye ndoa ni wazinzi kuliko mabachelor

Smile

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
15,347
11,610
kuna haka karesearch nimekaona mahali

eti
wanaume wenye ndoa katika katika10 -8 wanatoka/wanatamani wanawake wa nje

wanawake ambao hawajaolewa asilimia 90 wanatamani kuolewa

wanawake walioolewa asilimia 99 wanatamani kutoka kwenye ndoa zao

je kuna kaukweli jamani?
 
Ukweli upo hapo! kuna mzazi mmoja jirani hapa anafyeka balaa,ila ukigusa watoto wake wa kike anaweza akuue live!
 
Kabla hatujakuambia ukweli hebu tufanye ka research kupitia kwako:

We umeolewa? Kama ndio
Unatamani kutoka kwenye ndoa yako?
Ushakutana na waume za watu wangapi?

We Hujaolewa? Kama ndio
Ushakutana na waume za watu wangapi?
Unatamani kuolewa?
 
Hako Ka-research umekafanya wewe au wamefanya wengine. Je sample yako ya research ilikuwa ya watu wangapi? Usije ukawa uliona watu wawili au watatu wenye matatizo yanayofanana uka-draw conclusion. Research zina utaalamu wake mkuu.
 
Kabla hatujakuambia ukweli hebu tufanye ka research kupitia kwako:

We umeolewa? Kama ndio
Unatamani kutoka kwenye ndoa yako?
Ushakutana na waume za watu wangapi?

We Hujaolewa? Kama ndio
Ushakutana na waume za watu wangapi?
Unatamani kuolewa?

una maswali magumu........we si ukubali kama ni kweli au si kweli.....aahhhh.......
 
hako ka-research umekafanya wewe au wamefanya wengine. Je sample yako ya research ilikuwa ya watu wangapi? Usije ukawa uliona watu wawili au watatu wenye matatizo yanayofanana uka-draw conclusion. Research zina utaalamu wake mkuu.
si nimekaona hako karesearch mahali jamani?
 
kuna haka karesearch nimekaona mahali

eti
wanaume wenye ndoa katika katika10 -8 wanatoka/wanatamani wanawake wa nje

wanawake ambao hawajaolewa asilimia 90 wanatamani kuolewa

wanawake walioolewa asilimia 99 wanatamani kutoka kwenye ndoa zao

je kuna kaukweli jamani?

Kuna ukweli asilimia 90%
Ukishakaa mwanamke muda mrefu mnakuwa mmeshazoeana
kiasi cha kukosa hamu ya tendo kuu.
sasa kakipita kakuku ka kienyeji huwa ni vitamu sana basi unaamua kupumzika hapo.
 
Wewe ulitoka lini mara ya mwisho?
 
Kuna ukweli asilimia 90%
Ukishakaa mwanamke muda mrefu mnakuwa mmeshazoeana
kiasi cha kukosa hamu ya tendo kuu.
sasa kakipita kakuku ka kienyeji huwa ni vitamu sana basi unaamua kupumzika hapo.

hahahahahah Tech bwana vikuku vya kienyeji vitamu mbaya we acha tu hasa vile vichafu vichafu. kwenye 6x6 wala husikii harufu mbaya ya ripstick wala perfume mbayambaya.
 
kuna ukweli asilimia 90%
ukishakaa mwanamke muda mrefu mnakuwa mmeshazoeana
kiasi cha kukosa hamu ya tendo kuu.
Sasa kakipita kakuku ka kienyeji huwa ni vitamu sana basi unaamua kupumzika hapo.
una vikuku vingapi?
 
hahahahahah tech bwana vikuku vya kienyeji vitamu mbaya we acha tu hasa vile vichafu vichafu. Kwenye 6x6 wala husikii harufu mbaya ya ripstick wala perfume mbayambaya.
kumbe hiki kiresearch ka ukweli eeh
 
una vikuku vingapi?

Sikumbuki idadi ila nimeshapitia vingi tuu bebii hata lakini kuku wa kidhungu mmhhh
siwapendi sana maana wana harufu ya manywele yao yananuka sana mpaka
unakosa ladha halisi ya ile kitu bana,bebii na wewe kwa kunifuatilia?
 
sikumbuki idadi ila nimeshapitia vingi tuu bebii hata lakini kuku wa kidhungu mmhhh
siwapendi sana maana wana harufu ya manywele yao yananuka sana mpaka
unakosa ladha halisi ya ile kitu bana,bebii na wewe kwa kunifuatilia?
hao wa kithungu una jeuri nao basi au uunajifagilia tuu?
 
Sikumbuki idadi ila nimeshapitia vingi tuu bebii hata lakini kuku wa kidhungu mmhhh
siwapendi sana maana wana harufu ya manywele yao yananuka sana mpaka
unakosa ladha halisi ya ile kitu bana,bebii na wewe kwa kunifuatilia?

Uko sawa kabisa Tech kuku wa kidhungu bana wanajifanya wasafi sana lakini manyere yao yananuka sana halafu hata ukitaka kula nyamunyamu bana miripstick kibao...Siwapendi kabisa... kuku wa kienyeji bana raaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom