Wanaume Wengine Wakavu Sanaaa! Daaah!

kwi kwi kwi kwi huyo dada pole yake aisiiidoonh nao wanaume wa siku hizi yaaani ni full ubahili doonh hasa akigundua mwanamke anafanya kazi doonh ebu wanaume na nyie badilikeni kidogo muache ubahili
 
lara 1 hapo huyo kaka haikua amri yake watoke ki hivyo, na mfuko wa kutokea alishakabidhiwa Bi dada, hakuna nyongeza hapo
 
Last edited by a moderator:
Kama haikuwa kwenye ratiba na cna hela kwanini nijitutumue alafu bdae nkajutia. . .mipango ndiyo mafanikio.bila kupanga itakula kwa mtu.
 
ila ukipenda vya bure, kubali kudhalilika anyatime, mtu unatka nyumbani huna hela halafu unategemea kutumia pesa ya nani
 
hakatwi mtu hapa!!!!!
 
hhahahahaha naona lara 1 umeamua kupunguza makali kwa kuwatete wanaume kidogo hahahaha ingekuwa befor hili beef la boys vs. girls tittle ya thread isingekuwa ivi may be ingekuwa #wakaka wa mjini wanatia huruma . kama ile ya watafuta maisha
 
Last edited by a moderator:
kila mtu alipe bill yake ,hakuna misaada & we need to be very tight with unnecessary cost:embarassed2:
 
Hahaha. Mmenichekesha!
Mie mamangu alikuwa anasema hata ukialikwa lunch, make sure you order what you can pay for. Kuna kuletewa zawadi, ila kujinunulia nguo jinunulieni bwana. Kwani bf ni mama yako? Lol.

Beggars in designer clothes!

unatumia kinywaji gani dadake?????hapo hapo ulipo ambia hao wakupatie kwa bili yangu aiseee
 
Du! Huyo mkaka ni kauzu zaidi ya dagaa ila mdada amejifunza kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…