Wanaume Wengine Wakavu Sanaaa! Daaah!

M in love with dis njembaaa....kukusindikiza tu ndo uanze kujichagulisha minguo? Subir Siku nikupeleke shoping kwa rizaa yangu
 

mkuu lundo la nguo then laki na uchee? mitumba au nguo za ukweli? maana kusema kweli kwa jinsi ninavyonunua na wife nguo zake laki mbili hupati hata nguo nne! sasa wewe lundo laki na ushee? au wadada hii kweli?
 
mkuu lundo la nguo then laki na uchee? mitumba au nguo za ukweli? maana kusema kweli kwa jinsi ninavyonunua na wife nguo zake laki mbili hupati hata nguo nne! sasa wewe lundo laki na ushee? au wadada hii kweli?

Kuna wadada wanaleta nguo za mitumba, 15k na 35k(Gauni). Laki na nusu mtu akichukua 15k ni nguo kumi. Na imagination yako ya lundo la nguo sio besela zima. Ni nguo nyingi nyingi zikishikwa mkononi.
 
mkuu lundo la nguo then laki na uchee? mitumba au nguo za ukweli? maana kusema kweli kwa jinsi ninavyonunua na wife nguo zake laki mbili hupati hata nguo nne! sasa wewe lundo laki na ushee? au wadada hii kweli?

Mkuu huko kwenye hizo nguo za 'ukweli' budget yake tayari tulishaset. Ila tukienda lazima nipige kwanza GRANTS kupunguza maumivu. Wanawake sijui wana wazimu au nyungunyungu vichwani na material things!!! Nguo, mikoba, viatu!!
 

My goodness..................!!! lazima utakuwa ulitobolewa mifuko wewe....tena kulee..........!!! hahahaaa
msiwe mnaparamia tu hovyohovyo!!!

na unafikiri ukimuona siku ya kwanza kapendeza unafikiri anavaa viwalo vipi sasa!!! kugharamia hakuepukiki!!!

pole mwaya!!
vipi mambo lakini?
 
Hahaha unaendaje shopping kwa budget ya mwenzako? angalau basi angemjulisha hahahhahah jamani akha mie endeleeni kuniona mshamba tu.............
 
Halafu wanawake hawahawa tegemezi watadai usawa na wanaume?

Au ndo wanauza haki ya kutaka usawa kwa kikombe cha uji na mikoba ya Uingereza?
 

huwezi jua inawezekana hata hicho kiasi ambacho hakijatosha alitoa huyo mkaka alimkabidh huko watokako, sasa aongeze tena?
 
Daaa jamaa huyu jamaa ni kauzu hile na ndivyo inavyo takiwa sema tunashindwa tuu.

Alaf kwa nini wanawake wanapenda kuwa tegemezi? Kwa nini umgeuze mtu kama baba au mama yako?

Alaf ndio hawa wakiona kaka zao wana toa pesa kwa wifi zao wana nuna sana na wanaanza kusema kaka ana chunwa.

Daaa hila hii imenichekesha sana
 
.amjamsikia nape? nape amesema maisha bora kwa mtanzania ni apo baadaye sana. hivo uyo mkaka bado ayajamfikia.
sisi wengine yaliyotufikia unamwambia achague zozote.
kutoka out bila 5 million bora nilale ndani tu
tehe tehe za zimbabwe hizo mkuu
 

Holy Grail!!..Huyu kamanda achukue tano kwanza...Huu ushambenga wa kupigia bajeti hela ya msela wakati hujuhi hali ya bajeti yake imekaaje na ukiwa huja discuss nae before haikubaliki.Haya mambo yanakera sana na ndo maana yanatufanya wengine tuwakimbie dada zetu tuwatafute wajapani au wanawake wanaotoka mabara mengine(Ukiondoa wadada wanaotoka pacifics,Tonga,Micronesia,Bahamas etc manake nao kama wa kwetu tu wanatega)....Ustaharabu ni kuwekana sawa before kujua kama jamaa yuko in good financial position otherwise ni kujitakia tu haya yaliyomkuta huyo mdada!!
 
Hiyo ni hadithi! Ipeleke kwa Chei chei.

Mxiuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!! LIKE WHAT YOU THINK MATTERS! Toa ya kwako na umpelekee mkeo! Usitubane humu!
 




Sister Paloma sijatobolewa mifuko wala nini ila kama ni matumizi tu ya hapa na pale nilifanya sana (outing kula, kunywa, disco) sawa, ila siyo kufikia mpaka kumepeleka demu kwenye viboutique na kupoteza mamilioni, hapana. Nimeyasema haya kutokana na elimu dunia tu tunayojifunza kutokana na wenzetu kufanyiziwa.
 
Last edited by a moderator:
DAHHH, Mkuu hiyo sasa roho mbaya, yaan unamgegeda mwenzio hafu humtoi hata buku la boda boda.




Buku ya nini, si wamezoea kuchezewa? Unamuacha hivyo hivyo ili akipata boda boda ajitongozeshe apate lifti.
 
Na mimi nimo kwenye hiyo list. Eti ofisi mnaenda lunch, dada anakuambia kama mwanaume kweli lipa. Haa, mi nakuambia kulipa silipi na nabaki kuwa mwanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…