Nyumba zetu nyingi pamoja na relation zetu uchwara zonakosa mawasiliano. Mtaondokaje halafu hamjui mnaenda kufanya nini? Just guessing inawezekana jamaa nae analipiza kisasi baada ya kwenda nae hadi Guest kalipia chumba wameingia, wamevua halafu Demu anauliza, "HIVI UNATAKA KUFANYA NINI?"
Dawa ya Moto ni moto
Igweeeeeeeeeeeeeeee!
Jana nilienda kibotic uchwara ku window shop supraa na midosho ya kitaa! Sasa mule nikawa napigizana kelele na Dulla boy aniahushie bei! Dulla nunda hacheki na kima!
Mara ghafla wakaingia mkaka na sherii wake wameshikana mkono, full malavida, hug kibaooo! Full kudraw attention Dulla akachachawa kuona riziki imemtembelea! Wengine wote tukaonekana si wateja!
Dada anaagiza tu ashiwe ile na ile zigo haswaaa! Mmmmh! Mi nikaguna tu coz nguo 2 zilikuwaza zantoa kamasi si kidogo! Akaenda kujaribu, Mr kasimama pembeni, wengine kimyaaaa! Tunatoa mijicho.
Kulipa sasa kimbembe! Yule bwana kajikausha kimya! Bi dada anajisemesha nimepungukiwa, sina, sitoweza! Mkaka kimyaaaa! Mwisho Dulla akanuna, mdada akamwambia mchuchu wajikatae haoooo wakasepa!
Nikashangaaaa! Mkaka hata kusema amuongezee kidogo! Kimyaaaaaaa! Hata chukua moja tu! MIMI HAPANA AISEEEEE! Sasa what was the point ya kusindikizana?
Igweee!,
mapenzi yabaki mapenzi na fedha ibaki fedha, no mixing, Ova!.

usipokuwa kauzu unaweza ukajikuta ukafilisika,maana uchumi huenda ulizingua
Haisee huyu jamaa ana akili kinoma maana alishaona picha yote kwani siku hizi mademu wa kibongo kutokana na tamaa zao utawasikia, mpenzi (mtu umekutana naye siku moja tu) nataka kwenda sehemu fulani (hakuambii wapi kuogopa utashituka mapema) naomba unisindikize. Then ukiingia kichwa kichwa na kwenda naye utajikuta upo kwenye viboutique msela (nguo za kichina na kituruki za low quality), demu atajifanya anachagua kukupima mkaka kuona kama utamnunulia, atakudekea hapo mpaka uingie line na ukiwa mjinga utajiingiza hasara kumnunulia vitu vya mamilioni na zaidi wakati wanaopiga na kumkomoa huyo demu ni wengine kabisa na wasiompa hata elfu 5. Mademu wa kibongo hawana issue siku hizi, ni kuwachapa tu na kuingia kitaa basi, ama ukienda nao gesti unachapa tani yako then unaruka dirisha la chooni na kuwaacha hapo pekee wakamatwe kwa kutolipa, that's the way to do them ili wajifunze.
Ni kweli mkuu, unadhani, wanataka kutuchanganyia mrenda na pilau.Hahahhaa.....asiee nimecheka mpaka natoa machozi......aisee. JF ni nouma.
unaendaje shopping bila hela ya kutosha au ATM card?? inaonekana hakuongea na mchuchu wake kabla ya safari thats y 'kaachwa hewani'. it's her faultIgweeeeeeeeeeeeeeee!
Jana nilienda kibotic uchwara ku window shop supraa na midosho ya kitaa! Sasa mule nikawa napigizana kelele na Dulla boy aniahushie bei! Dulla nunda hacheki na kima!
Mara ghafla wakaingia mkaka na sherii wake wameshikana mkono, full malavida, hug kibaooo! Full kudraw attention Dulla akachachawa kuona riziki imemtembelea! Wengine wote tukaonekana si wateja!
Dada anaagiza tu ashiwe ile na ile zigo haswaaa! Mmmmh! Mi nikaguna tu coz nguo 2 zilikuwaza zantoa kamasi si kidogo! Akaenda kujaribu, Mr kasimama pembeni, wengine kimyaaaa! Tunatoa mijicho.
Kulipa sasa kimbembe! Yule bwana kajikausha kimya! Bi dada anajisemesha nimepungukiwa, sina, sitoweza! Mkaka kimyaaaa! Mwisho Dulla akanuna, mdada akamwambia mchuchu wajikatae haoooo wakasepa!
Nikashangaaaa! Mkaka hata kusema amuongezee kidogo! Kimyaaaaaaa! Hata chukua moja tu! MIMI HAPANA AISEEEEE! Sasa what was the point ya kusindikizana?
What if msichana ndo kauzu kuliko dagaa?
aliambiwa before kuwa mfukoni sina kitu
akalazimisha tu 'dont worry babe ninazo pesa'
unanisindikiza tu ,ondoa shaka..
wapo wadada 'makauzu mno'
anakubambikia shopping hata hukuzipanga
i refuse kumlaumu huyo mvulana
hujui walitoka vipi huko makwao
what if walikutana njiani tu,?
au ndo kwanza wametongozana?
mjinimipango,na mipango inaanza na bajeti...
Mkirua, hapo kwenye red tu mi taabani, msiwakazie kiivyoHayo ndiyo madhara ya ratiba za kuchomekeana. Tupange tunakwenda shopping lkn mambo ya baby kuna kitu naangalia sijui madudu gani ni kutaka tu kujiadhiri haswa ukikutana na mkaza sura.