SAMSTEVIE huwezi amini hata huyo mtu mwenyewe sijamfahamu mpaka hivi sasa. Kila nikijaribu ku-trace hiyo namba, haitoi jibu lolote. Pia nisingeshindwa kumeleza hayo kwakuwa huwa sipendi kujibu message hovyo kwa mtu nisiyemfahamu.
POINTERS Ahsante kwa ushauri, but kwa upande wangu kumweleza Mpenzi wangu naona ni busara zaidi kuliko kukaa kimya.
Sasa kwa nini umehisi ni mtu ambaye mshawahi kuachana?SAMSTEVIE huwezi amini hata huyo mtu mwenyewe sijamfahamu mpaka hivi sasa. Kila nikijaribu ku-trace hiyo namba, haitoi jibu lolote. Pia nisingeshindwa kumeleza hayo kwakuwa huwa sipendi kujibu message hovyo kwa mtu nisiyemfahamu.
Utakuta mvulana uliyekuwa na uhusiano nae kipindi cha nyuma anaendelea kukufuatafuata kwa kutuma message za ajabuajabu kwa msichana ambaye walishaachana nae hapo zamani na anajua wazi kabisa tayari upo na uhusiano na mwanaume mwingine ambaye mnapendana sana.
mbona unajichanganya?mwanzoni umesema mpenzi wa zamani,sasa hivi unasema mtu mwenyewe humfahamu !!!ina maana ulikuwa na wapenzi wengi ???!!!SAMSTEVIE huwezi amini hata huyo mtu mwenyewe sijamfahamu mpaka hivi sasa. Kila nikijaribu ku-trace hiyo namba, haitoi jibu lolote. Pia nisingeshindwa kumeleza hayo kwakuwa huwa sipendi kujibu message hovyo kwa mtu nisiyemfahamu.
Kwamaana hiyo huwezi kumsamehe??kama ndiyo hivyo basi utakuwa wewe ndiye ulisababisha tatizo lililopo!KAKAKIIZA Yani hiyo ni NEVER coz penzi huwa halilazimishwi. Pia kama haukuwa mpango wa Mungu wa mimi na yeye kuendelea kuwa pamoja, asidhani kwamba akitumia mbinu hiyo ndipo penzi litarudi. Akae tu akijua kwamba penzi langu kwake liliisha siku nyingi sana. Hivyo anajisumbua tu.
Habari zenu wana JF. Jamani siku hizi kuna wanaume ambao hawana hata busara kabisa. Utakuta mvulana uliyekuwa na uhusiano nae kipindi cha nyuma anaendelea kukufuatafuata kwa kutuma message za ajabuajabu kwa msichana ambaye walishaachana nae hapo zamani na anajua wazi kabisa tayari upo na uhusiano na mwanaume mwingine ambaye mnapendana sana.
Hivyo kutokana na wivu alio nao ataanza kukufuatilia kwa maneno ya ajabuajabu, ili mradi tu akuvurugie uhusiano wako na mwanaume uliye nae.
Jamani wana JF naombeni ushauri wenu kwa wanaume wa namna hii wafanyweje?
BAZAZI Acha makelele wewe. Naona unaongea pumba tu. Kama hukuwa na comment si ungekaa kimya. Yani umeongea non-sense kama kijana ambaye hajaenda shule kabisa. Tulizanaaaaa....Hv paparaz una miaka mingapi? Yaelekea JF imeingiliwa na Visichana vya FB. Una uhusiano wa kingono na mvulana halafu unataka kutuumiza kichwa kwa upambaf wako. Ingekuwa ulikuwa na NYAMAUME kwa kweli ningekushauri lakini hapo NO!
Bazazi!
BAZAZI Acha makelele wewe. Naona unaongea pumba tu. Kama hukuwa na comment si ungekaa kimya. Yani umeongea non-sense kama kijana ambaye hajaenda shule kabisa. Tulizanaaaaa....
BAZAZI Acha makelele wewe. Naona unaongea pumba tu. Kama hukuwa na comment si ungekaa kimya. Yani umeongea non-sense kama kijana ambaye hajaenda shule kabisa. Tulizanaaaaa....
daa hivi number hubadilishwa kwa sababu kama hizi, wat if hiyo number ndo unaitumia kwa shughuli zako nyingine like biashara, kazi na mengineyo, atafute njia nyingine ya kukabiliana nae, sio kubadili number, nunua simu zenye option ya kureject number or mtishie kumpeleka police kwa usumbufu anaousababisha au mtafutie watu wampige mkwara wa kutosha tuhiyo kitu ni simple badilisha namba uanze upya...kuna baadhi ya watu wana hiyo tabia