Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 6,019
- 20,040
- Thread starter
-
- #41
Naam, naijua harufu ya beberu, eeenh.....Beberu umewahi kumsogelea?
Upo sahihi sana, usafi ndio kila kitu hasa wa socks na kukausha miguuAaagh, yote haya ya nini?.
tunaweza ambiwa migongo hatuilindi 😊😊😊😊.
Suluhisho ni kukausha miguu vizur kabla ya kuvaa soksi. Na pia kama mtu unapilika pilika mchana basi uwe unabadili soksi kila baada ya siku 2 au tatu.
Sio unavaa soksi moja wiki nzima.
NimeongezeaaaaOngeza makwapa na midomo
Hao wanaume wako unaokutana nao 🙌🙌🙌🙌🙌🙌Kabla sijaenda kwenye mada kuu natoa dukuduku langu, nilileta uzi mzuri tu ukafutwa bila sababu lakini humu kuna nyuzi kibao za kuponda, kulaani, kutukana jamii ya lgbt zimetulia uongozi wa jf unazichekelea ila sisi wahanga tukitaka kujitetea tunazibwa vidomo vyetu na kutiwa masingi, sasa nasema mod ulofuta uzi wangu kwa mihemko yako mie sijali wala nini, bendera itapeperushwa kama kawaida, upooooo
Walioreport tena wengine vibabu vizee visivyotaka kukaa chini ya mwembe kucheza na wajukuu zao, kutwa kucha kushinda mitandaoni kwenye mada za vijana kusambaza visukari vyao, nawashauri mkubali uzee ushafika tandikeni msala mlie na Mola wenu walau mpunguziwe toba hamna hayaaaaa, mxieeeeeeeee,
Duku duku langu nishatoa, mkimeza mkitema shauri zenuuuuuu😏🤧
Haya jamani wanaume mnaongoza kunuka miguu yaani mtu akivua viatu hadi nzi wanakimbia, panya wanajificha, kunguni wanakufa hii nini jamani!!!😷
Tena mtu mzima huyo bado atataka kulala bila kuoga, yurk
Wanawake zenu wanapitia mengi na kuvumilia mazito, muwaheshimu sana na hata wakibadili majina ya hati za nyumba muwavumilie pia,
Kwanza kwanini mnuke miguu? hamuisafishi eeh, hamvai soksi au hamfui soksi? na kama ni ugonjwa kwanini msiwaone wataalam mjitibie, naweza kuwaelewa wale jamaa wa migodini wanaopiga kazi nzito kwenye jua kali na wanavaa boots muda wote, nyie wengine excuse yenu ni nini? na ushajijua una hilo tatizo kwanini ukirudi tu nyumbani usikimbilie bombani kuosha miguu kabla hujaingia ndani kuchafua hali ya hewa, eeeww!
Muoshe miguu yenu hata mara moja kwa mwezi nendeni mkaoshwe miguu huko masaluni kama huna mke au hamuwezi kufanyiana na mkeo (wangu namuosha mwenyewe ila mie napenda kuoshwa saluni wanajua wale hehehehe),
Vaeni soksi safi na kavu, msirudie soksi mara moja inatosha,
Anikeni raba na boots juani,
Pakeni poda kwenye maungio ya vidole kabla hamjavaa soksi,
Pulizeni manukato ya miguu,
Tumieni foot cream kulainisha na kubalance unyevu unyevu,
Usafi hauna jinsia ni jukumu letu sote kua wasafi.
Adios.
Ukweli mchungu 😅😅😅😅😅😅Kabla sijaenda kwenye mada kuu natoa dukuduku langu, nilileta uzi mzuri tu ukafutwa bila sababu lakini humu kuna nyuzi kibao za kuponda, kulaani, kutukana jamii ya lgbt zimetulia uongozi wa jf unazichekelea ila sisi wahanga tukitaka kujitetea tunazibwa vidomo vyetu na kutiwa masingi, sasa nasema mod ulofuta uzi wangu kwa mihemko yako mie sijali wala nini, bendera itapeperushwa kama kawaida, upooooo
Walioreport tena wengine vibabu vizee visivyotaka kukaa chini ya mwembe kucheza na wajukuu zao, kutwa kucha kushinda mitandaoni kwenye mada za vijana kusambaza visukari vyao, nawashauri mkubali uzee ushafika tandikeni msala mlie na Mola wenu walau mpunguziwe toba hamna hayaaaaa, mxieeeeeeeee,
Duku duku langu nishatoa, mkimeza mkitema shauri zenuuuuuu😏🤧
Haya jamani wanaume mnaongoza kunuka miguu yaani mtu akivua viatu hadi nzi wanakimbia, panya wanajificha, kunguni wanakufa hii nini jamani!!!😷
Tena mtu mzima huyo bado atataka kulala bila kuoga, yurk
Wanawake zenu wanapitia mengi na kuvumilia mazito, muwaheshimu sana na hata wakibadili majina ya hati za nyumba muwavumilie pia,
Kwanza kwanini mnuke miguu? hamuisafishi eeh, hamvai soksi au hamfui soksi? na kama ni ugonjwa kwanini msiwaone wataalam mjitibie, naweza kuwaelewa wale jamaa wa migodini wanaopiga kazi nzito kwenye jua kali na wanavaa boots muda wote, nyie wengine excuse yenu ni nini? na ushajijua una hilo tatizo kwanini ukirudi tu nyumbani usikimbilie bombani kuosha miguu kabla hujaingia ndani kuchafua hali ya hewa, eeeww!
Muoshe miguu yenu hata mara moja kwa mwezi nendeni mkaoshwe miguu huko masaluni kama huna mke au hamuwezi kufanyiana na mkeo (wangu namuosha mwenyewe ila mie napenda kuoshwa saluni wanajua wale hehehehe),
Vaeni soksi safi na kavu, msirudie soksi mara moja inatosha,
Anikeni raba na boots juani,
Pakeni poda kwenye maungio ya vidole kabla hamjavaa soksi,
Pulizeni manukato ya miguu,
Tumieni foot cream kulainisha na kubalance unyevu unyevu,
Usafi hauna jinsia ni jukumu letu sote kua wasafi.
Adios.
Hahahahaha tunawakumbusha jamaniiiiiUsafi hauna jinsia ni jukumu letu sote kua wasafi. 😃😃😃
Wanaume wananuka Makwapa, Miguu, midomo doh hebu wapumzishe basi 😅
Tena ndio wanakuaga na viherehere sana haooooWako bize mitandaoni wanabwata wakiongozwa na MKUU WA MAZEZETA wa wochi bela baki wanasahau hata kupiga mswaki midomo inanuka kama shimo la mavi.
Huwa nachoka sana kufokewa na mtu anayenuka mdomo, unashindwa hata kumsikiliza unabaki kufunika pua.
Nimesuuzika kukuona hapa mamy mrembo wanguUkweli mchungu 😅😅😅😅😅😅
So kweliiiiiiHao wanaume wako unaokutana nao 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Sasa umejuaje kama wananuka?So kweliiiiii
Hatutachoka kuwaambia ukweli hadi wajirekebisheeeeWanaume mbona mmepandisha kisukari hivyo jamani. Kwani kuambiwa muwe wasafi ni nongwa?
Watapata muda saa ngapi wa kujifanyia usafi kutwa kuambizana kulinda migongoBela wochi your baki hawasukutui midomo kutwa wako mitandaoni huku hela hawana ni makasiriko tu
Harufu inajificha? wapo kila sehemuSasa umejuaje kama wananuka?
Umejuaje kama hizo harufu zinatoka miguuni na siyo kwenye sehemu zingine za mwili, 😅Harufu inajificha? wapo kila sehemu
Una element fulani za upindeHeshima ya nini mtandaoni, we babu vipiiiii